Muulize mzinzi wenu mkuu anayepora wake za watu
Itv mbona hatuoni?????!!!!!.
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
Kweli kabisa wengine tuko Arusha!
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
kweli kabisa wengine tuko arusha!
wameanza ule mchezo wao wa kukata umeme huku arusha
Magamba wote simameni tuimbe wimbo wa taifa