Uzi unakimbia kama dreamliner. Khaaa watanzania wamechoka. Leo nimetoka kuwatumia maskini wangu wa kijijini hela kwa mpesa. Sijawea kuwapatia wote biashara na elimu kwa kuwa kidogo nazalisha ndiyo hivyo tena extended wapo. Eti tunaifanya kazi iliyoshindwa serikali ya ccm. Malabuku.
Kumbe huu mkutano wa diniSheikh anasema mashetani(CCM) lazima yakemewe...Watu wanashangiliwa sana...
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
Naona huu mkutano umegeuka kuwa wau dini..kiongozi wa shura ya maimamu anahutubia hapa
Mungu ibariki afrika......
Mungu ibariki Tanzania....
MITAMBO ITV HAIJATULIA KABISA
Ukawa hawajui kuimba wimbo wa taifa..aibuuu
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
Imamu anataka kuwasilimisha chadema wahamie cuf