kiongozi kutoka shule ya maimuuu.. Kutoa salamu za waislamu
shekhe anaanza
asalamu aleykhumu....
Kwa niaba ya taasi na jumuia ya kiisalamu...
Anasema inakuwaje viongozi wanaingia katika siasa, anasema sisi ni viongozi wa kiroho, so sisi kazi yetu ni kukemea mafisadi, anasema si tu watachanganya dini na siasa bali watakoroga kabisa siasa na dini
anatoa mifano ya mwangosi, na shekhe ponda,, anasema wote wameteswa na polisi hakuna mtu aliyekamatwa, shekhe ponda bado yuko gerezani, na alisomewa mashtaka gerezani
shekhe anasema, serikali hii ndio ilisabibisha mauaji mwembe chai, anasema hakuna kitu kilifanyika zaidi ya kupandishwa vyeo kwa wahusika polisi, kama tukio la mwangosi, muhusika kapandishwa cheo
shekhe anasema nchii hii inatesa maimamu, na mashekhe, anasema watu wamefanyiwa vibaya mbele ya polisi, lakini hakuna kitu mpaka leo, hakuna huduma iliyochukuliwa, zaidi ya watu hao walioko jera wanakojoa usaha na damu,
anamalizia kwa kusema kuwa, sisi viongozi wa dini hatukuanza kuchanganya dini na siasa, bali alianzisha lukuvi, kwa kuhubiri chui, maana lukuvi alisema kama serikali tatu ikipita baasi maana yake uislamu utarudi zanzibar na waarabu watarudi... Sasa ona ujinga kama huu
mkanakumbuka mambo ya mrema, kuhusu mabucha ya nguruwe, kutokanana na madhira ya viongozi wa siasa, anasema sisi viongozi wa dini hatutachanganya dini na siasa, bali tutakorogwa, anasema sasa wakati wa kuuunganisha nguvu ni sasa hakuna kulala, wooote waliokuwa na umri wa miaka 18, woote lazima waandikishwe, pia tume huru ya uchaguzi lazima ipatikane, anasema viongozi wa woote wa dini wanasema sasa nikuunganisha nguvu, kutetea katiba iliyotoka kwa wananchi iliyotoka kwa wananchi siyo iliyoburuzwa
shekhe anamuomba mungu kusimamia uaminifu, na mungu awasaidie watu woote viongozii woote,
anakumbusha suala la mahakama ya kadhi si jipya, so anasema suala la mahakama ya kadhi ilikuwa ni kuweka sawa ili suala hilo liwe la kikatiba, na siyo kupigwa changa la macho, anasema suala la kupelekwa januari mwakani, hapana na waisalmu woote watapiga kura ya hapana
hakii,.,......
Motomotoo
peopleeeee,,,
ukawaaa......
Ngapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, 3..............3.333333333333....