Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Poleni sana kamanda KirilOriginal hata huku Geita sauti ya ITV haisikiki vizuri.....
 
Last edited by a moderator:
haki za makundi mbalimbali ni uwongo mtupu kifungu 21 cha katiba pendekezwa kinazinazuia hizo haki kufatiliwa kimahakama
 
Ndugu zetu Itv matangazo leo yanaonekana kuna tatizo kidogo kwenye sauti,tunawaomba mtusaidie watizamaji wenu tuwaangalie makamanda wetu wa Ukawa ...asante!
 
Hotuba za hovyo kweli, upotoshaji mtupu unaendelea hapa
 
Kwa walio mbali na eneo la mkutano na tv yanayoendelea.Haki za kupata elimu zipo tangu kipindi cha upe 1974,unapoambiwa kuwa mtoto wako atakuwa na fursa ya kupata elimu ya msingi na ya juu ni fursa hivyo kama utakuwa na pesa atasoma kama huna hawezi kupata elimu sababu ni fursa sio haki kama rasimu ya katiba ya ccm inavyoelekeza.Haki za wazee haki za vijana na haki zote zioizoanishwa zinafutw katika kif ungu cha 21 mbili-haki hizo haziwezi kudaiwa au kuamuliwa mahakamani.
 
UKAWA ni mpango wa Mungu

We need tume huru ya uchaguzi baaasiiii tujichukulie nchi yetu
 
Radio One wamekata baada tu ya mh Tundu Lisu kuanza kuzungumza. Utoto huu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…