lisssu anasema haki hizo zoote haziwezi tiliwa nguvu katika vyoombo vyoote vya kisheria, ibara ya 22 (2) inasema hivyo.. Haki hizo uhuwezi kwenda kuzidai mahali popote kama mahakani.. Anasema ispopatikana mahakamani itapatikana wapi?? Ikuru kwa jk? Au bungeni kwa makinda
anasema raisi wa nchi hii ni kama mfalme maana harusuwi kufuata ushauri wa mtu yoyote, warioba alipendekeza kuwa raisi lazima afuate ushauri wa timu maalumu,, na asipofuata lazima aseme why,
sasa leo hata majaji wanateuliwa na raisi je kutakuwa na haki, warioba alipendekeza watu woote waliopendekezwa na raisi lazima wathibitishwe na bunge, sasa je kuna la maaana, kuna jipya hapao, kivuli cha raisi kipo hapo bungeni, anaweza kupanga hata mishahara,anateua katibu mkuu...