wamekubariana yafuatayo
1. Kuhuhisha sera za vyama vyetu, ili vyama vyoote viwe vinazungumza mambo yanayofafana
2. Kusimamisha mgombea mmoja kila jiimbo la uchaguzi, (serikali za mitaaa.. Hadi raisi wa jmt)
3. Utaratibu wa namna gani vyama vyotee vitashirikiana katika chaguzi zoote, utaratibu utatolewa hivi karibuni
4, kushirikiana katika mchakato wa kuwafahamisha watz katika kukataa katiba inayopendekezwa, haijazingantia maoni ya wananchi, bali kikundi cha wachache, ccm na wafuasi wake
5. Kujenanga ushirikianao katika mambo yoote muhimu kwa taifa hili
6. Kuhakikasha muungano wetu unalindwa gharama zozote zile
7. Mambo yoote yatafanyika bila ubaguzi wowote,