Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
makubaliano ya Ukawa unasomwa na Slaa.. Very interesting.. So ni "coalition of the willing"? Ngoja tuone 👀 magamba wanavyoangaika
 
ukawaaaaa..... Tumaini letu,
wanatuweza, kunamtu ametuleta hapa???
Ngapiiii......
 
Slaa anasema treni tatu zimesomba wazanzibari kutoka znz kuwaleta dar
 
ukawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

haya ndiyo mliyokuwa mkiyataka ukawa tuyafanyeeeee..................ndiooooo

chadema ... Ukawaaaa, cuf.. Ukawaa... Nccr mageuzi... Ukawaaaa.... Nrd.... Ukawaaaa

ngapiiiiiii...


Maalimu sefu..... Wangapi wamekubali hayo makubaliano.. Mikono juuuu..........................

 
Maalim seif sasa...katibu mkuu wa kudumu wa cuf
 
Makubaliano ya UKAWA: Kuwa na kauli zinazolingana wanapozungumza na watanzania wote

Makubaliano ya UKAWA: Kusimamisha wagomnbea wa pamoja kwenye ngazzi zote za uchaguzi kuanzia kwenye mitaa hadi Rais wa Tanzania

Makubaliano ya UKAWA: Uandaa muongozo wa kugonbea nafasi zote

Makubaliano ya UKAWA: Kushirikiana kuelimisha Umma kuipigia kura ya Hapana Katiba inayopendekezwa.

Makubaliano ya UKAWA: Kujenga ushirikiano wa dhati katika mambo yote na hoja zote za kitaifa zenye maslahi ya Watanzania wote

Makubaliano ya UKAWA: Kuulinda Muungano bila kuwa na migongano ya maslahi

Makubaliano ya UKAWA: Kulinga na kuenzi Muungano bila kunyenyekea kikundi chochote wala itikadi yoyote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…