Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
duh huyu mzee naona kachanganyikiwa. Eti katiba imepigiwa kura ibara kwa ibara na haikupigiwa kura katiba nzima! Kayatoa wapi haya?
 
Maalim seif hajui chochote kuhusu katiba! Ni aibu
 
Khaa!! Maalim sawasawa kajichokea bora awaachie vijana sasa..
 
Maaalimu sefu anasema 2/3 haikupatikana
katibu wa bunge alisema wajumbe wa zanzibar walikuwa 219. Lakini ki ukweli walikuwa 217, siyo 219,
 
duh! Maalim anaendelea kuweweseka. Eti theluthi mbili za Zanzibar haikupatikana
 
Katiba ya ccm inafaa kuwekwa kwenye debe la taka". Maalim Seif ni sheedah...sawasawa eeeh sawasawa ni hapana hapana hapana
 
Hakuna kura ya makhaaaaa.... Iliyopigwaa, sisi zanzibar ni hapana, hapana hapanaaa....... Nyinyi watanganyika manasemaje???..................
 
Huku nako shein anaguruma ndani ya viwanja vya demokrasia amani Sasa Leo tz patamu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…