Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Kama wewe unao uhakika ilipatikana ,ilipatikana vipi,usisahau zipo kura za wizi za mjumbe wa NCCR Mageuzi iliyohesabiwa na mjumbe mmoja marehemu ,tafaaaadhali kuwa mkweli bila fitina na chapaa mfukoni.

huku ni kuweweseka tu. Hatua hiyo ilishapita
 
Maalim Seif Sharrif Hamad: Katiba ya Sitta na Cgenge mahala pake ni kutiwa kwenye debe la taka, kwani haikubaliki kabisa.

Maalim Seif Sharrif Hamad: Katiba iliyopendekezwa haikubaliki wala haivumiliki, Wazanzibar na watanganyika walishaukaa mfumo wa serikali mbili imekuaje Sitta na Chenge waurudishe.

Maalim Seif Sharrif Hamad: Katiba iliyopendekezwa Wazanzibar walio wengi hatuutaki, unanuka.

Maalim Seif Sharrif Hamad: Rasimu imepitishwa kimakosa kwani haikupigiwa kura kwa Rasimu kwa ujumla wake.

Maalim Seif Sharrif Hamad: Zanzibar tumechakachuliwa sana katika kura za maoni.

Maalim Seif Sharrif Hamad: Theluthi mbili ya Zanzibar haikupatikana, wabunge na wawakilishi walikuwa 217, 219 wamepatikana vipi? theluthi mbili ni 146, waliosema Hapana ni 76 hivyo waliopiga ndiyo ni 143. Theruthi mbili imepatikana wapi?

Maalim Seif Sharrif Hamad: Tunamsubiri Kikwete na Shain watuletee kura ya maonim tupige kura ya Hapana.
 
Khaa!! Mikataba kama vikaratasi vya kupangisha vyumba bana. Wameshindwa hata kuiheshimu kuiweka kama wengine wanavyofanya? These guys are not serious
 
Wana jf, yeyote ambaye yuko hapa jagwani mwangalie daud kipara juu la gari la music chadema.
 
Sasa naweza kusema pasi na shaka kwamba leo nimeamini kabisa kwamba ni Mungu wa Mbinguni ndio uweka na kuondoa watawala wa falme za ulimwengu huu.

Upo sahihi bosi..ni wakati tu na majira yake yalikuwa hayajatimia.
 
makaidi anasema sisimu wameshikwa na ugonjwa na jambajamba.....
Dalili zake ni hzi, huyu anasema lile huyu anasema lile,

viongozi wako tayari, je watanzania mko tayari??....
 

jamaa siyo siri, ametisha.
 
Dah! Huyu Makaidi anasema uongo. Anasema kuwa tarehe nane mwezi wa nane kwama sitini na nne alitabiri kuwa ccm itakufa kifo cha mende! Wadau tuelimishane hapa. Kwani ccm imezaliwa mwaka gani?
 
Khaa!! Mikataba kama vikaratasi vya kupangisha vyumba bana. Wameshindwa hata kuiheshimu kuiweka kama wengine wanavyofanya? These guys are not serious

legal paper ni standard al over kuna tofauti na zile alizosaini la profesara?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…