Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Mbowe ameanza kuwa na wivu. Anasema kuwa Maalim Seif aliposema sawa sawa mlifurahi ila mimi nikisema sawasawa mnanuna. Hii ni hatari
 
Mbona mimi kwangu kuna sauti za mkwaruzo? Ni kwangu tu au na wengine...
 
Mpango wa Mungu umetuletea UKAWA..

watanzania tuwe makini na hilo neno wanalolirudia sana akina mbowe eti chadema ni mpango wa mungu wakati wanafadhiliwa na Christian Democratic Union ujerumani.Nahofia wanataka kuunda dola ya kikristo.
 
Dah! Mbowe analazimisha eti Peoples Powe iwe ndo salamu ya Ukawa. Hakika hii ni hatari. Wameanza kufarakana
 
Freeman Mbowe: Makubaliano haya ni mpango wa Mungu na yoyote atakayepinga mpango huo wa Mungu mabaya yatamkuta.

Freeman Mbowe: Emmanuel Makaidi ni mfano wa kuigwa kwani chama chake hakina luzuku lakini ameikataa laki tatu ya Dodoma na kujiunga na mpango wa Mungu.

Freeman Mbowe: CCM wameamua kujitekenya wenyewe na wakacheza wenyewe.

Freeman Mbowe: Chadema hakina maslahi ya maana zaidi ya maslahi ya Tanzania, viongozi wa Chadema atakayeenda kinyume ya makubaliano ya UKAWA, aanze safari kwani hawatamuacha.

Freeman Mbowe: Tunaingia kwenye ushirikiano wa UKAWA tukafanye kazi, viongozi wote wahame maofisini waende mitaani kufanya kazi mkapa uchaguzi utakapofikia.

Freeman Mbowe: Wanaomba UKAWA wagombane wamepoteza muda kwani hawatagombana bali wataendelea kushikimana mpaka kieleweke.

Freeman Mbowe: Kwanza, kila Mtanzania wote wahamasishane kujiandikisha kupiga kura kwani ndiyo siraha yetu, pili, Watanzania waudharau uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani una umuhimu mkubwa sana, tatu, tuikatae Katiba iliyopendekezwa kwa kuwa haina uhalali kwa wananchi.
 
hapa ninachokiona ni chadema kujaribu kupenyeza ajenda zao ndani ya ukawa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…