Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Kama Zitto Kabwe?Kwani CCM ndio imeshababisha UKAWA wasioe na kuolewa?
Mbowe: "Kikwete nakuomba ukapumzike kwa kuwa umekuwa ni Rais wa majanga kuliko marais wote, umekiuka makubaliano yetu"
hakuna mlipuko wowote. Wapo kama wamefiwa vile
Kwani CCM ndio imeshababisha UKAWA wasioe na kuolewa?
Dah! Mbowe analazimisha eti Peoples Powe iwe ndo salamu ya Ukawa. Hakika hii ni hatari. Wameanza kufarakana
Du! Imekuwa bahati mbaya Sana.mkuu pole si kwako tu, itv leo mitambo yao leo imekwama sana katika sauti, yaani kama kuna upepo hivi....polesana
Mbowe bado anakizunguzungu cha Oman
Mkuu unajamba jamba au umejinyea kabisa? Nepi Nnauye huchoki? Umebaki peke yako!!
Khaa!! Tatatibu cdm wameanza kujitwalia ukawa. Dr Mbowe kaanza kudai salamu ya chadema itumike ukawa. Angalau mh Mbatia amekuws smart kuvuruga protokali ya mwalim kwa kulazimisha Dr Mbowe azungumze kabla ya prof
Kati ya watanzania millioni 45,Hahahahahaaaaa.....
Duh! Lipumba anawadanganya vijana. Anasema eti wafanye mazoezi ya viungo kudai haki. Anachekesha sana huyu
Mbowe bado anakizunguzungu cha Oman