Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Kamanda mimi nimemnukuu Prof.Lipumba. kosa langu ni lipi?
 
safi sana kwani inaonyesha jinsi wananchi walivyochoka ahadi hewa za wakuna nazi CCM.
 
Ha ha ha ha Mingoi, nimecheka kwa sauti mpaka haya majamaa ya UPAWA bado kidogo yanistukie ninatoka jangwani na niko nayo gari moja mi nachat tu.
Hongera kwa kwenda Jangwani inaonekana una mapenzi ya dhati kwa UKAWA njaa ya buku 7 tu. Pole
 
Last edited by a moderator:
Historia fupi ya wanandoa UKAWA

1.Walikutana bungeni Dodoma
2.Uchumba wao ulijaa vitimbi,michepuko,kukosekana uaminifu na vijembe kama USHOGA,ULIBERALI na USAGAJI
3.Tar 26/10/2014 wameanza NKATABA wa safari ndefu ya ndoa isiyokuwa na tija wala mafanikio hapa JANGWANI

Sisi kama mashahidi tunawatakia MIGOGORO isiyosuluhishika,CHUKI isiyokuwa na kikomo na hatimae KIFO cha milele.

Ameeen...
 
Haijalishi holi jambo litakuzwa kiasi gani!!!!!
lakini kila mmoja wetu anakiri toka moyoni kuwa MUITIKIO WA WANANCHI NI TOFAUTI NA MATARAJIO.
Mahudhurio ya watu hajakaribia hata kidogo MKUTANO WA CHADEMA MWAKA JANA. Hii ni bad indication hasa ukizingatia ilikuwa ni muunganiko wa WAPINZANI WOTE WENYE NGUVU. napata wasiwasi kuwa
1. labda chadema kimepoteza mvuto baada ya migogoro
2. ZZK alikuwa na wafuasi wengi kuliko ilivyotarajiwa
3.CUF inasafiria nyota ya chadema hususan huku bara
4.Ukawa ni mwanzo mzuri ambao unaweza kuzaa matunda baada ya miaka kumi kuanzia mwakani(kama muungano huu utakuwepo baada ya uchaguzi 2015 maana kushindwa ni dhahiri
 
Lipumba amesema asilimia 60 ya waliohudhuria mkutano wao hawajala. Sasa wamewezaje kunywa viroba kabla hawajala?

Lipumba kasema CCM ni waongo wanaahidi halafu hawatekelezi.ametoa mfano wa Gesi mtwara kutowanufaisha wakazi.Kuna mwingine hapo juu kakumbushia ahadi ya CCM kuigeuza Kigoma kuwa Dubai ya Afrika.Hizi ahadi kama zimetolewa na CCM wanaweza kuwaambia wananchi kama imeshazitimiza kwa kiwango gani.
 
...

....wabunge ,madiwani ,wenyeviti wa mitaa ccm popote huko mliko fungeni virago kokoro linakuja !!!


 
Nitampa Zawadi mzee Makaidi-Mbowe!
 

furaha ya mla mirungi endelèeni
 
Hiyo ya viroba nayo katamka Prof. Lipumba? Hayo mambo ya viroba au juice, n.k., yana watu wake lakini watu wazima kama wewe, Nape, Ritz, Mwanadiwani, hamstahili kwenda huko maana ni maneno ya kilingeni. Ninyi mnatakiwa kujenga hoja ili hata wanaoisema vibaya CCM, wakati fulani waione hekima ya CCM kwa kupitia ninyi watetezi wake.

Watu wanaoitetea CCM kwa hoja ndiyo watetezi wazuri wa chama kuliko wanaotoa maneno ya mipasho na kejeli. Ninyi ndiyo mlioifanya CCM ionekane ni chama cha kihuni

Hata katika majukwaa, Kinana anajenga na kuilinda CCM kuliko Nape. Kwa sababu Kinana anatambua nafasi yake, anafahamu aseme nini na asiseme nini. Nape hana msaada mkubwa kwa CCM kwa vile naye ameamua kujiweka kwenye kundi la akina 'Mama Mipasho'. Wenye akili wanashangaa kusikia baadhi ya maneno kutoka kwa Nape lakini maneno hayo hayo wasingeyashangaa kama wangeyasikia kwa mtu mwingine ambaye siyo wa nafasi ya Nape.

Kamanda mimi nimemnukuu Prof.Lipumba. kosa langu ni lipi?
 

Huenda wananchi wanahofu na Usalama wao hasa ukizingatia Milipuko ya Mabomu kwenye mikutano ya Siasa ya upinzani na kutotiwa hatiani kwa wahusika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…