Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Hicha xi za leo ni ya mwaka 2010 wakati kampeni ya sssssssm ukawa hamna kitu kabisa

Nukikwambia wewe ni mchawi utakataa! Hiyo picha ya leo pale jangwani unabisha kitu gani wewe! Katiba mmechakachua hata umati wa watu unataka kuchakachua huna adabu!
 

Attachments

  • 1414339995273.jpg
    133.3 KB · Views: 406
mkutano umemalizika bila ya viongozi wa ukawa kuwa na muelekeo ulio sawia

Pole sana kwa kazi nzito ya kujibu kila post mkuu WS, Ifeero, Mingoi and co. Nina swali dogo..hivi ni kweli mpaka post zitimie 100 ndo siku iingie?? Kama ni hivyo bora kurudi Kijijini kuendesha kilimo!!
 
heeeeeeeeee! Ukawa tende...........twende.........heheheeeee........twebdemm

JAMAN HII NI HATARI. MWENYE MAWASILIANO NA BW FAST JET EBU AMTUMIE PICHA ZA HUU MKUTANO ILI AHAMINI KUWA CCM SASA INAMFIA MIKONONI MWAKE. IN UKAWA WE TRUSt
 
Kulima ni kazi inayohitaji uadilifu, nidhamu na moyo wa kujituma, vitu ambavyo wanaCCM wengi hawana. Kwenye kilimo hakuna ujanja ujanja kama huu uliozoeleka na wanaCCM.

Pole sana kwa kazi nzito ya kujibu kila post mkuu WS, Ifeero, Mingoi and co. Nina swali dogo..hivi ni kweli mpaka post zitimie 100 ndo siku iingie?? Kama ni hivyo bora kurudi Kijijini kuendesha kilimo!!
 
... Mi Nina Hasira Sana Na Maccm. Yaan Mafisad Akina Chenge Ndo Watuandikie Katiba? Hapana Hapana Hapana
 
... Mbna Sion Koment Za Buku7 Kama Akina Msalani, Laki Si Pesa, Ritz Nk? Au Hawamo?
 
Ukiangalia picha za hawa wahudhuriaji zinaakisi sura za watu walio tayari kupata kidogo cha kwao kwa kukifanyia kazi (kukitolea jasho) tofauti na zile za wengine wanaopenda ufahali kwa kuomba misaada na kutegemea polisi na majeshi kuwabakiza madarakani!
Ni ngumu kufanikiwa lakini matumaini yanaongezeka.
 
Lipumba anajidhalilisha sana. Prof mzima analeta porojo za kuwahadaa vijana wafanye mazoezi ya viungo ili "kukomboa nchi". Upumbavu sana.....

mbona mamvi anafanya mazoezi ya viungo?, kufanya mazoezi imekuwa shida.
 
... Mi Nina Hasira Sana Na Maccm. Yaan Mafisad Akina Chenge Ndo Watuandikie Katiba? Hapana Hapana Hapana

Sema hapana katiba yaafisadi maccm. Yamenyofoa kila kitu yanaimba haki za wanawake, haki za wavuvi, haki za wakulima haki za walemavu kumbe yameweka daraja la kuficha pesa chafu uswiz majambazi makubwa haya.


Yamewafanya vijana waonekane wazee kwa ugumu wa maisha yenyewe yanatalii nje ya nchi na kuuza nchi kwa bei poa hapana this time hakuna kulala ukawa na wananchi wote tushikamane.
 
Lakini ukawa leo wamesomba watu kwa mabasi
 
... Jkt Imetusaidia Kufanya Mazoez Kuikomboa Inchi Yetu. Asante Jkt
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…