Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Hiii ndo kwanza saa tisa..!!! Sipati picha itakapofika saa kumi na moja hali itakuwaje hapa Watu wanamiminika utafikiri msafara wa siafu..

BACK TANGANYIKA
 
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi

We gamba umeshazoea kupewa pesa na nepi kwenda kukodisha UDA yani ukawa wakodishe Costa! Umepotea! Hapo ndo ujue maoni ya wananchi hayapotei bure!
 
Lete mambooo...leo magamba lazima wafe...Ni mtikisiko wa aina yake...

Magamba wamechokwa kila mahali...
 
Uzi unakimbia kama dreamliner. Khaaa watanzania wamechoka. Leo nimetoka kuwatumia maskini wangu wa kijijini hela kwa mpesa. Sijawea kuwapatia wote biashara na elimu kwa kuwa kidogo nazalisha ndiyo hivyo tena extended wapo. Eti tunaifanya kazi iliyoshindwa serikali ya ccm. Malabuku.
 
Ngoja nikae mkao wa kula nikufuatilia kwa umakini wa hali ya juu...

Huu ni mtikisiko wa nchi....
 
Hiii ndo kwanza saa tisa..!!! Sipati picha itakapofika saa kumi na moja hali itakuwaje hapa Watu wanamiminika utafikiri msafara wa siafu..

BACK TANGANYIKA
Mkuu upo maeneo nini? Mimi kama kawaida nipo na msafara huku...Leo ni mtikisiko tukifika hapo!
 
Polismmm tafadhali leo acheni demokrasia ifanye kazi kwa amani.
 
Red Brigate na Blue Guard najua mtafanya shughuli yenu kwa umakini...Vitu vyenye ncha kali vitayeyuka leo...

Leo ni mtikisiko..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…