safi!! mtujuze....mlisema mtarusha ITV nimekaa kwangu hapa toka asubuhi kusubiria hyo LIVE, hadi sasa saa 14:25 bado sijaona hiyo LIVE...
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
Ukawa ni mwiba kwa ccm na mawakala wake.
Hata mchicha unamiba lakini unaliwa
Asante kwa Taarifa kamanda.
Hapana. Wametufanyia mengi kwa kadri ya uwezo wao. Wamefika mahali wamechoka wanatakiwa kupumzishwa. Kwa heshima watakubaliana na maamuzi ya wengi na taifa litasonga mbele, maisha yataendelea. Mungu wetu, kwako tunaomba baraka tuweze kubadilisha uongozi wa taifa letu kwa amani na utulivu.Lumumba wako shimoni wanachungulia kama panya! Ponda kichwa hao!
ITV wataanza kurusha matangazo Mbowe na Dr Slaa watapofika kwa kuwa hawa ndio wenye mkutano
Red Brigate na Blue Guard najua mtafanya shughuli yenu kwa umakini...Vitu vyenye ncha kali vitayeyuka leo...
Leo ni mtikisiko..