Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Ngoja nianze kujisogeza kwenye ka screen nitune ITV niko Tayari kugombana na watu maana wengine wanadhani mpira wa Man U na Chalsea ni Muhimu kuliko Mkutano wa UKAWA.
 
Kibo 10 vp leo nasikia nyomi jagwani sio kawaida?
 
Cuf wako kimaslahi zaidi. ndoa ya kwanza walifunga na CCM. Hii ya pili .. Lipumba amewazidi ujanja Chadema
 
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
Mkuu nipo apa jangwani, hakuna watu kabisa..idadi ya watu ni sawa na mkutano wa tawi wa ccm
 
Kurugenzi ya habari msiogope kutupia na picha za kibandamaiti hivi sasa halafu linganisheni nyomi......na mtafakari....Tunahakikisha mnaponyanyua mguu sisi tunakanyaga kwa maana mnapopotosha sisi tunapita kuwaeleza ukweli wananchi....Hapo jangwani ninyi ongopeni wadanganyeni hao watu wachache waliohudhuria sisi tutaalika umati wa wana dar es salaam..KATIBA MPYA ITAPATA KURA YA NDIYOOOOO...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…