USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga.
Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia udhalilishaji huu wa waziri hasa timu Odinga sio sawa.
Watanzania tukatae haya kuona matako ya Mhe. wewe itakusaidia nini? tubidiishe utu
Pole sana Millicent Omanga.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app