niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Bi mkubwa ana mbasa hatari sana ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu , Kwa sisi walaji wa tunda Kimasihara, Kuna wakati Huwa hatuwavui nguo Wanawake.Jina ni Omanga na sio Omongi!
Video nimeona jana,
Mimi sijaona chochote vibaya zaidi ya invasion of the right to privacy ilivyofanywa na lijitu lijinga. Tena video ni ya heshima kidogo angalau amelala na baadhi ya nguo, wengine huwa wanalala na birthday suit na miguu eamejiachia!.
kiwa mtu umejaaliwa, na wewe mwenyewe unapenda kuvaa mavazi ya kuonyeshea ulivyo jaaliwa, hakuna ubaya wowote watu kuona kazi nzuri ya Muumba kwenye uumbaji!. Watu wenye heshima zao siku zote na wakati wote watavaa mavazi ya staha!.
Whoever aliyepiga hiyo video ni kichaa na aliyeiposti pia ni kichaa!.
Ukichaa huu usivumiliwe kamwe!
P
View attachment 2591707
Mzigo huo hapo aise nichek nikutumie ila uwe wakike
Yuko njema lkn.Ilikuwa suala la muda tu, hata yeye Millicent Omanga alikuwa anahangaika kujaribu kuwaonyesha watu maumbile yake. Naona wameamua kumrahisishia kazi.
Mkuu hebu rekebisha hapo! Bath suit / swimming costume!Jina ni Omanga na sio Omongi!
Video nimeona jana,
Mimi sijaona chochote vibaya zaidi ya invasion of the right to privacy ilivyofanywa na lijitu lijinga. Tena video ni ya heshima kidogo angalau amelala na baadhi ya nguo, wengine huwa wanalala na birthday suit na miguu eamejiachia!.
kiwa mtu umejaaliwa, na wewe mwenyewe unapenda kuvaa mavazi ya kuonyeshea ulivyo jaaliwa, hakuna ubaya wowote watu kuona kazi nzuri ya Muumba kwenye uumbaji!. Watu wenye heshima zao siku zote na wakati wote watavaa mavazi ya staha!.
Whoever aliyepiga hiyo video ni kichaa na aliyeiposti pia ni kichaa!.
Ukichaa huu usivumiliwe kamwe!
P
Birthday suit ni tamathali ya semi ya ile suti uliyozaliwa nayo siku unazaliwa!Mkuu hebu rekebisha hapo! Bath suit / swimming costume!
Anajitahidi kwa shepu ila sura badoSitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga.
Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia udhalilishaji huu wa waziri hasa timu Odinga sio sawa.
Watanzania tukatae haya kuona matako ya Mhe. wewe itakusaidia nini? tubidiishe utu
Pole sana Millicent Omanga.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sikuelewa nisamehe! Inasemekana Sonko ndo karusha!Birthday suit ni tamathali ya semi ya ile suti uliyozaliwa nayo siku unazaliwa!
P
Nitumie pm plz
Tutumie bwana ata sie wa kiumeView attachment 2591707
Mzigo huo hapo aise nichek nikutumie ila uwe wakike