Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga.

Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia udhalilishaji huu wa waziri hasa timu Odinga sio sawa.

Watanzania tukatae haya kuona matako ya Mhe. wewe itakusaidia nini? tubidiishe utu

Pole sana Millicent Omanga.

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
20230419_123231.jpg
 
Shadow government watu wapo kazini.
 
Vijana wanajituma kwenye suala la kugegeda acha kabisa. Maana hapo unajua kazi yako ni kumridhisha huyo mama kama hela anayo yakutosha sasa anataka kufikishwa kileleni
asa ndo amrekodi, haoni kama amejiharibia
 
Jina ni Omanga na sio Omongi!
Video nimeona jana,
Mimi sijaona chochote vibaya zaidi ya invasion of the right to privacy ilivyofanywa na lijitu lijinga. Tena video ni ya heshima kidogo angalau amelala na baadhi ya nguo, wengine huwa wanalala na birthday suit na miguu eamejiachia!.

kiwa mtu umejaaliwa, na wewe mwenyewe unapenda kuvaa mavazi ya kuonyeshea ulivyo jaaliwa, hakuna ubaya wowote watu kuona kazi nzuri ya Muumba kwenye uumbaji!. Watu wenye heshima zao siku zote na wakati wote watavaa mavazi ya staha!.

Whoever aliyepiga hiyo video ni kichaa na aliyeiposti pia ni kichaa!.
Ukichaa huu usivumiliwe kamwe!
P
Brother kumbe na wewe mdau?
 
Back
Top Bottom