Jina ni Omanga na sio Omongi!
Video nimeona jana,
Mimi sijaona chochote vibaya zaidi ya invasion of the right to privacy ilivyofanywa na lijitu lijinga. Tena video ni ya heshima kidogo angalau amelala na baadhi ya nguo, wengine huwa wanalala na birthday suit na miguu eamejiachia!.
kiwa mtu umejaaliwa, na wewe mwenyewe unapenda kuvaa mavazi ya kuonyeshea ulivyo jaaliwa, hakuna ubaya wowote watu kuona kazi nzuri ya Muumba kwenye uumbaji!. Watu wenye heshima zao siku zote na wakati wote watavaa mavazi ya staha!.
Whoever aliyepiga hiyo video ni kichaa na aliyeiposti pia ni kichaa!.
Ukichaa huu usivumiliwe kamwe!
P