Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga.

Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia udhalilishaji huu wa waziri hasa timu Odinga sio sawa.

Watanzania tukatae haya kuona matako ya Mhe. wewe itakusaidia nini? tubidiishe utu

Pole sana Millicent Omanga.

USSR


Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimeona kuna kijana Mtz anatajwa ati ndio kapiga mzigo huo .......,dah jamaa ana bahati sanaa kula nyama safi kiadi ichoo
 
Kama kweli huyu ndio huyo mwana mama waziri basi hapo kuna mchongo wa kuchafuana kisiasa .....
 
Back
Top Bottom