PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

kwanini uteseke mkuu nenda kanisani ubatizwe ili ule kitimoto kwa raha zako. usimkwaze mtu
 
Wewe sio muislamu,usijidanganye.Uislamu,ukienda kinyume makatazo yake,tayari umeshajivua,sio muislamu.Kila mfumo wa maisha una taratibu zake,ni sawa uwe uko chama cha siasa A lakini unatekeleza sera za chama B,automatiki uongozi wa chama A,watakuvua uwanachama.
 
Toka nijue unaweza pata kifafa kutoka kwenye minyoo ya nguruwe pale nyama inapokuwa haijaiva na ukweli wengi wanakula nyama ambazo hazijaiva huyu mdudu simtamani hata kidogo.
na ukila nyama ya ng'ombe isiyoiva vizuri unapata ugonjwa gani doctor?
 
Nyama haramu
 
Huo mchuzi hapo utolewe umeharibu
 
We kula tu bana kwa kuwa kutokula hakuna effect yoyote popote pale kwenye ulimwengu unaoonekana au usioonekana
 
Biashara yangu ya Kitimoto leo imeanza kurudi kuwa nzuri kama hapo awali!
 
Hata kwa Waislamu nyama ya nguruwe sio "haramu" hasa kwa kuwa inaruhusiwa kuliwa kama hakuna mbadala. Kitu haramu cho chote huruhusiwi kukigusa. Lakini kwa Uislamu ni halali kula kama hakuna mbadala. Je hiyo tuite ni haramu au ni mgongano wa aya za Qur'ani.
 
Wapi wanatengeneza hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…