Semeni nyie, tukisema sie wengine tunaambiwa tuna promote ushoga, Lol.Sema mbwa ndio wamevuka mipaka ya ushoga,mbwa wakikutana madume wawili ni lazima wapandane nimeshashuhudia mara kibao na sio kusimuliwa
Wanatimia kilainishi Gani?Mbuvi wanafanya hizi kitambo sana labda ujawahi kuchunga au kukaa karibu na machinjio
UMEMALIZA CHIEFMtoa mada,
Sio Kila ukiona beberu anamkwea beberu mwenzie Kwa nyuma ni ishara ya ushoga au anataka kumfira.
Ile ni ishara ya kuimarisha bond ya ujamaa, undugu na urafiki MIONGONI mwa wanyama.
Hii utokea Mara Kwa mara hasa kama beberu mmoja anataka kumuaproach beberu mwenzie ili waanze kucheza.
Na hii sio Kwa beberu TU, Hata majike pia ufanya hivi, na sio kwamba wanataka kusagana.
TUJIFUNZE KUWAELEWA WANYAMA
mbuzi mbwa sometime NG'OMBE huwa wana nyege za hovyo sanaMbuvi wanafanya hizi kitambo sana labda ujawahi kuchunga au kukaa karibu na machinjio
Unahitaji msaada wa kisaikolojia, una shida sehemu. Yaani mbuzi ndo wanakushughulisha kiasi hicho? Unafanya kazi gani kwanza?Asalaam alykhum.
Tumsifu Kristu.
View attachment 3403564
View attachment 3403567
Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa.
Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha Mwl. Nyerere.
Tulisimama kupisha kundi ka mbuzi kuvuka barabara ndipo nikaona kama unavyoona pichani, yaani beberu ni wengi sana na kinachoendelea hapo wanapandiana wao kwa wao, subhuana wallah [emoji20]!.
Na kuna vijana wadogo wanaangalia matukio hayo, nilishikwa bumbuwazi, haki [emoji22]!.