Mi mwenyewe siangalii, ila nili angalia siku moja na aunt yako (last sibling wangu).
Kuna scene kobisi(bonge nyanya) ali sema tuseme inshallah, basi niki rudia kusema hivyo dogo ana cheka kweli😂😂.
Alice in borderland ume angalia? Ni kali kuliko squid game.