PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

Nasubiri kuona mapovu ya waja, wanaosema, hata wanyama hawawezi kuwa homo.

Hikii nini? Ahsante kwa kutuletea uthibitisho huu, nimesha save hizi picha, kwa ushahidi zaidi hapo baadae.

Ubarikiwe sanaa!!
Tuachane na wanyama Kwani wewe unaweza kupumuliwa na kidume mwenzio?
 
Kaka DeepPond umepotea sana?
 
Naunga mkono hoja
 
Serikali itamchukulis hatua mwenye mbuzi
 
Mleta mada atuambie anahalalisha kufanyiwa huu upuuzi au ana nia gani haswa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Umenikumbusha mbali,maeneo hayo kwa route ya kupitia ya barabara kuanzia hapo,bububu hospitali ya jeshi, Mbuzini,kinyasini,njiapanda pongwe ,mafarasi ,kiwengwa ,pale kuna hotel ya Melia,mapenzi hotel,dream of zanziba ,neptune hotel,hatimae pwani mchangani kijijini ambapo nimeishi 2years
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…