PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

Baba Joy acha uongo wako hapa. Yaan huoni hata aibu kudanganya wazi wazi hivi?

Mie nimesha chunga, mifungo, (ng'ombe, mbuzi, na kondoo) madume yakitaka kucheza huwa wanaanza na trick ya kupigana, sio hii ya kupandana.

Tutolee Fix zako hapa. Khaaah 😂😂😂😂
 
Baba Joy haya unayoandika, nacheka km mwehu hapa.
Wee ni Liongooo.!! 😂😂😂😂😂
 
Jinsi ya kutofautisha mnyama anaemkwea mwenzie ili asex nae, na anaemkwea ili wacheze.

Ni kuangalia erection ya uume pamoja na mdomoni anaonyesha ishara gani pindi tukio Hilo linafanyika
Mbona unatumia nguvu nyingi hivyo baba joy jaman??
Mbuzi wanafirana hao, em tutolee fix zako hapaa.
😂😂😂😂😂
 
Nini maana ya Laana?
Nini maana ya Shetwain?

Je wasioamini ktk hizo nadharia zako, huoni wako nje ya unacho refer wee? Think twice.
 
Tatizo sio la mbuzi ni la mleta uzi, mbuzi hawajafanya ushoga ila mindset ya mleta uzi ndio ina ushoga ndani yake.
Wangekua binadamu hapo? Wangekua wanafanya nini? 😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂
Uongoo wa kiwango cha SGR, huu.
 
We jamaa hautumi muda wako kujifunza na kuwaelewa wanyama


Wanyama kupandana hivyo haimaniishi wanfanya sex .

Itakuwa umeathirika kisaikolojia na hauna Elimu ya wanyama .

Kuna Mdau hapo juu amejitahidi kuelezea vizuri.
 
Sasa unataka kusema binadamu wenye akili, fikra na mengineyo, twende sawa na wanyama..

HAPANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…