PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

Lol....halafu hilo neno kombolela naliskia tu kwa watu. Sijawahi hata kuangalia
At least ungesema Squid game πŸ˜ƒ
Mi mwenyewe siangalii, ila nili angalia siku moja na aunt yako (last sibling wangu).

Kuna scene kobisi(bonge nyanya) ali sema tuseme inshallah, basi niki rudia kusema hivyo dogo ana cheka kweliπŸ˜‚πŸ˜‚.

Alice in borderland ume angalia? Ni kali kuliko squid game.
 
Km hitaji langu binafsi ni kupigwa paipu, na mpigaji yupo, why not?
Hujamboo lakiniiii?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸƒπŸƒπŸƒ Astaghafirullah
 
Kawaida hyo.

Mbuzi hua wanapanda mpaka sturi na miti wakiwa na genye.

Ndo maana Yesu
 
Mbuzi wanaopandwa ni majike. Wanaowapanda ni madume.

Mtoa mada hujui aina ya mbuzi na wewe ni wakala wa ushetani
 
Kwahiyo genye zilikupanda?
 
ndugu shoga naona umefurahi kweli moyoni kukutana na mashoga wenzie mbuzi. kama moyo wako haujajaa uchafu, inakuwaje wazo kama hilo lipite tu hata kichwani kwako?

Nilitaka kukupuuza ila nilipoona avatar yako ikabidi nijionee maajabu.

Alitajae jina hilo huwa kabadirika kifikra na siyo mpuuzi kama wewe.

Mwenye kutaja au kutumia jina hilo, akili yake imevutwa juu na anawaza kuponya na siyo kubomoa.

Akili za panya ni kuharibu kilicho mbele yake, panya hawezi kula kidogo akaacha bali akishiba anakunya hapo hapo kwenye chakula. PANYA!
 
Michenzani mwaya.
Asalaam alykhum.
Naam hapo Michenzani ndipo pale kuna ile mall?.

Kama ndiyo hapo nitakuwa radhi kusikia kuhusu hapo na mida gani mizuri kutembelea eneo hilo.
 
Nasubiri kuona mapovu ya waja, wanaosema, hata wanyama hawawezi kuwa homo.

Hikii nini? Ahsante kwa kutuletea uthibitisho huu, nimesha save hizi picha, kwa ushahidi zaidi hapo baadae.

Ubarikiwe sanaa!!

Mbona kawaida mnyama anapokua on heat huparamia chochote hata akikukuta wewe, yule muda huo huwa hana akili, ila sasa binadamu una akili ya kutofautisha jinsia.
 
kudai haki ya kuabudu, nimekuwa mpuuzi? wewe hapo ukizuiliwa kuswali si utapiga yowe hadi ubwabwa uliokuta utatapika?
 
🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣 hata manini
 
Sema mbwa ndio wamevuka mipaka ya ushoga,mbwa wakikutana madume wawili ni lazima wapandane nimeshashuhudia mara kibao na sio kusimuliwa
Toen upumbavu wenu hapa nyie mashoga mnataka kuhalalisha ushogo ,kwanza hao mbuzi hakuna sehem inayodhibitisha wote ni mabeberu ,ameleta picha hazina hata ushahid uliojitosheleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…