Mimi nimeelewa mchele ambao wewe unauza Tsh 3000, mchina anauza tsh 1000.
Sasa mteja aliyenunua kwa mchina atabaki na elfu mbili ya kwenda kununua vitumbua, viungo vya kupikia mchele pamoja na dagaa.
Hivyo kama umepata msongo wa mawazo nadhani umepona
Nyie wauza mchele mara nyingi mnakula nyama hivyo acha mteja abaki na salio la kwenda kumuungisha mama vitumbua
Yeye ndio anajua kwanini ameweka ila kwa mimi mteja nitaangalia sehemu yenye bei nafuu ili nibaki na hela ya dagaaUnadhani kwanini Kipanya kaweka hiyo frame namba 3?
Ya Mchina kushika fedha, akienda kwenye jengo la kichina?
Nami nimeelewa kama ulivyoelewa wewe.Wakuu,
Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya.
Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba:
Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so kutakuwa na mzunguko wa fedha ndani ya nchi. Yaani wataunganishana.
Ila mchina akiuza mchele, yeye hatumii fedha zake kwa Watanzania yaani HAWAUNGISHI wabongo.
Mkishanunua vitu kwake yeye ataenda ataenda kutumia hizo fedha kwenye hotel, restaurants na kwenye mahotel ya kichina.
Na ndo maana Wachina wana CARWASH, HOTEL, RESTAURANTS, YARDS na HOSPITALI.
Mnawapa Wachina hela lakini hawazirudishi kwenu, wanazitumia kwao.
Nyie wenzangu mmeelewaje?
View attachment 3282509
Tazama upya, huyo wa kununua vitumbua sio mteja tu, maana ya ziada kuwa akiuza faida inarudi kwa wananchi nchini, utaona jamaa anatembea anapeleka hela ktk vitumbua.Mimi nimeelewa mchele ambao wewe unauza Tsh 3000, mchina anauza tsh 1000.
Sasa mteja aliyenunua kwa mchina atabaki na elfu mbili ya kwenda kununua vitumbua, viungo vya kupikia mchele pamoja na dagaa.
Hivyo kama umepata msongo wa mawazo nadhani umepona
Nyie wauza mchele mara nyingi mnakula nyama hivyo acha mteja abaki na salio la kwenda kumuungisha mama vitumbua
Acha madalali wafundishwe jinsi ya kufanya biashara... Mbongo anataka kwenye mauzo ya siku 1 apate faida ya kwenda kufanya starehe na kuwatukana maskini 🤣🤣Hao wachina ni nafuu kwa wananchi ila threat kwa wafanyabiashara.
Hizi mbanga angeanza nazo Nyerere kwa kutoruhusu wahindi & waarabu huko nyuma hata hawa wachina naona wamechelewa sana, walikua na muda wa kufanya haya kitambo kabla mitandao haijawa mingi ili waweke mizizi kama wenzao wahindi.
benk ya kichina- hakuna kinachobaki NchiniUnadhani kwanini Kipanya kaweka hiyo frame namba 3?
Ya Mchina kushika fedha, akienda kwenye jengo la kichina?
Ndio upuuzi wao huo, acha watufundishe kazi ili mradi walipe kodi inatoshaMimi ni mtanzania kuna mtaa nina kiduka changu lakini wenye maduka wengine wamenichukia sababu mafuta lita 1 nauza Tsh 5200 huku wao wakiuza Tsh 5500 mpaka 6000
Huu sii uungwana
Wafanyabiashara wanapenda faida kuuubwa na kuchukia mno mno ushindani.Acha madalali wafundishwe jinsi ya kufanya biashara... Mbongo anataka kwenye mauzo ya siku 1 apate faida ya kwenda kufanya starehe na kuwatukana maskini 🤣🤣
Huyo Mtanzania mwenzako anayeuza mchele elfu tatu ndio huyo huyo anayenunua vitumbua. Nenda kamuungishe mchina ambaye vitumbua hanunui na hela yako anapeleka kwenye bank ya kichina/china, na aliyekuwa anakuuzia mchele elfu tatu kwakua humuungishi, anashindwa kununua vitumbua hivyo vitumbua haviuziki! mwisho mzunguko mdogo wa fedha, uchumi mkua mgumu, umasikini kuongezeka.Mimi nimeelewa mchele ambao wewe unauza Tsh 3000, mchina anauza tsh 1000.
Sasa mteja aliyenunua kwa mchina atabaki na elfu mbili ya kwenda kununua vitumbua, viungo vya kupikia mchele pamoja na dagaa.
Hivyo kama umepata msongo wa mawazo nadhani umepona
Nyie wauza mchele mara nyingi mnakula nyama hivyo acha mteja abaki na salio la kwenda kumuungisha mama vitumbua
Watanzania wanapenda faida mara mbili wapuuzi tu, bora wageni wabaki