magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,029
- 34,441
Uko sahihi. Unastahili kabisa kupewa Wizara ya Fedha.Ni jambo jema sababu mteja aliyenunua kwa mchina kabaki na elfu 2 ya viungo na kumuungisha mama vitumbua
Uko sahihi. Unastahili kabisa kupewa Wizara ya Fedha.Ni jambo jema sababu mteja aliyenunua kwa mchina kabaki na elfu 2 ya viungo na kumuungisha mama vitumbua
mkuu mbona makasiriko hahahahhaa, basi wewe umenizidi kila kitu hadi ujinga umenizidi mkuu furahi sasaWe ambaye ni mweusi kichwani mchango wako ni upi. Acha arrogance za kipuuzi watu wanakuzidi kwa mbali sana. Watu km wewe ni empty brain
Tuheshimiane bwanamdogo.mkuu mbona makasiriko hahahahhaa, basi wewe umenizidi kila kitu hadi ujinga umenizidi mkuu furahi sasa
Waje wachina tupate nafuu, kuhusu dola sisi tunahitaji bidhaa zao hata bila wao kuja tutachange tuwapelekee dola maana hatuna viwanda vya kuzalisha bidhaa wanazotuuzia wachinaNa bado mtalia sana mnawakataza wasifanye umachinga kariakoo halafu mnawapa ubungo stand wajenge maduka ya kuja kuuza bidhaa za umachinga ni sawa na kukimbia kuoga maji ya bombani ukaoga maji ya mvua.
Kwetu sisi wanunuzi ni faida uwepo wao kwenye soko
Hiyo ni ngumu kushindana nae,kwanza tambua yeye anatumia cheap labour,pili anatoa ruzuku kwa wakulima wake nilivyosikia japo sina uhakika,tatu anateknolojia ya juu dhidi yetu..Swali la msingi liwe
Mchina anawezaje kuuza bidhaa cheap? Tunaweza kupata bidhaa wanapopata tukauza cheap pia?
Katumia mchele na vitumbua kama mifano tu,,inawakilisha tu,kuwa mwelewa katika logic yake.Kampeni za kipuuzi, wafanyabiashara wakubwa km wale wa Kariakoo huwezi kuwaona kwenye hivyo vitumbua vyenu. Huo mfano hauendani na uhalisia, wachina hawauzi hivyo vitu, wao wanauza bidhaa zinazotoka kwenye viwanda vyao. Mchina anakuachia hela ya kutosha mfukoni utakayoitumia kufanya manunuzi mengine ikiwemo hivyo vitumbua. Masoud limeshakuwa bepari hawezi kuwa upande wa wananchi wanyonge.
Kama hujawah enda, baasi acha kukisia mambo maana huko huko china ukienda kuna vitu ni bei rahisi sana ila vikija hapa vinakuzwa na wafanyabiashara. Acha assumptions mkuuSuala la Predatory Pricing na lenyewe linahitaji mtu kwenda China kujifunza?
Mbona hata madarasani wanafundisha? Au hujasoma wewe?
Kama ni hivyo kwanini serikali yetu isiweke tax ya juu kwa imported goods kutoka China ili kudiscourage bei yenye gap kubwa kiasi hichi?Hiyo ni ngumu kushindana nae,kwanza tambua yeye anatumia cheap labour,pili anatoa ruzuku kwa wakulima wake nilivyosikia japo sina uhakika,tatu anateknolojia ya juu dhidi yetu..
Tuelewane kuwa Kuna blenda inafika dar kwa shilingi 32k inauzwa 87k jamani wabongo walizoea super profit,mie huwa nachukia mno mtu anayekomalia faida kubwa, mie Kama iyo blenda nasukuma kwa 35k huyu akauze reja kwa 40/45 Mana anakaa nayo muda mrefu. Ila Sasa ukiicheki ni 87k na hapo unaambiwa Kuna punguzo la 70%Wakuu,
Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya.
Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba:
Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so kutakuwa na mzunguko wa fedha ndani ya nchi. Yaani wataunganishana.
Ila mchina akiuza mchele, yeye hatumii fedha zake kwa Watanzania yaani HAWAUNGISHI wabongo.
Mkishanunua vitu kwake yeye ataenda ataenda kutumia hizo fedha kwenye hotel, restaurants na kwenye mahotel ya kichina.
Na ndo maana Wachina wana CARWASH, HOTEL, RESTAURANTS, YARDS na HOSPITALI.
Mnawapa Wachina hela lakini hawazirudishi kwenu, wanazitumia kwao.
Nyie wenzangu mmeelewaje?
View attachment 3282509
hahahaha mbona nakuheshimu mkuu japo najua umeme unao mdogo kichwaniTuheshimiane bwanamdogo.
Mteja alosevu 2k ndo huyohuyo muuza vitumbua, kwa kuwa mteja wake wa vitumbua ni huyo mwenye duka la mchele wa 3k, na kwa kuwa kamuhama akaenda kununua mchele kwa mchina, basi kakosa mteja wa vitumbua sababu mteja wa vitumbua vyake anategemea apate pesa ya kununua vitumbua kwa kuuza mchele wake.Kila mtu atatafsiri kivyake. Kwanini hujaona mteja aliyesev buku2 ana nafasi ya kumuungisha mama vitumbua?