Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ukianzisha uzi, wape breathing room wachangiaji wako - hasa wale wenye maoni tofauti na yako ali mradi tu hawakutukani. Sasa wewe kila mchangiaji tu akisema kitu tofauti na wewe hata kama hajatumia lugha ngumu huyoo usharuka naye na ad hominem attacks juu...oooh we masikini, ndo maana, oooh huna exposure; halafu unaacha hata kujadili hoja za msingi.Mkuu,
Mimi nna tabia ya kupokea mtu kwa namna alivyokuja
Asante
Acha Wachina watupe somo labda tutabadilika na hizi tamaa zetu za kutaka kupata faida hata mara 4. Na kama nilivyosema adui yetu mkuu ni ufisadi na ufujaji wa raslimali zetu. Hayo mabilioni yanayoibwa na kwenda kufichwa huko na wajanja wachache yangekuwa yanaingizwa katika mzunguko wa fedha yakafika mpaka huku mtaani mbona tungekuwa na ahueni sana?