Picha: Nimesikitika sana kuona Naibu Waziri anaenda kuzindua na kupongeza daraja kama hili. Hili daraja limegharimu kiasi gani?

Mambo kama haya yanachafua taswira nzima ya CCM. Na hapo utakuta kamtaja Mama Samia. Kiukweli mimi naona hiyo kama hujuma kwa serikali. TAKUKURU ifuatilie tujue kilichojiri.
 
Hizo fedha za msafara wake si zingejenga madaraja kama hayo kadhaa?!🙄🙄🙄
 
Watanzania tuko addicted na mediocrity! Hapo siyo kosa la waziri tu, hata hao wanaomsikiliza ni watu mediocre sana
 
Wacha ncheke kwanza dah
 
Ndo muandae bajeti kubwa kwenda kupongeza hizo juhudi🥺 ama hakika mbele kwa mbele haijalishi kuna shimo au kiza totoro
Gentleman,
jimboni kwangu wapo wananchi hususan wafanyabiashara wengi tu wenye mapenzi mema na wasio wachoyo wamejitolea kujenga mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na vyumba vya madarasa na maabara, wamejitolea kujenga barabara na madaraja yanayosaidia wanainchi kuondokana na adha mbalimbali za usafiri kwenye vijiji vyao,

ubaya uko wapi kwa viongoz wa Serikali kupongeza na kuunga mkono jitihada hizo za wananchi?🐒
 
CCM ni ileile ooo ni ileile
 
Maajabu ya CCM
 
Duh!
 
Mambo kama haya yanachafua taswira nzima ya CCM. Na hapo utakuta kamtaja Mama Samia. Kiukweli mimi naona hiyo kama hujuma kwa serikali. TAKUKURU ifuatilie tujue kilichojiri.
Hujuma ipo wapi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…