PICHA: Nimetazama hii picha BAWACHA walichomfanyia Mbowe nimebubujikwa na machozi

PICHA: Nimetazama hii picha BAWACHA walichomfanyia Mbowe nimebubujikwa na machozi

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708
IMG-20250116-WA0060.jpg

===
FREEMAN MBOWE kama kweli wewe ni mwanasiasa lazima ujue kuyatazama matokeo kabla ya Uchaguzi, Hii game umepigwa jiondoe ubaki na heshima yako
 
KWANINI MNAMALZIMISHA AJITOE, WANAOTOA MANENO YA KEJELI HAWANA UTULIVU.
WAPENZI WA MBOWE WAMETULIA TULI. ACHENI BOX LISEME
Sahihi kabisa Timu Mbowe wanafanya kampeni za kustaarabu na wanaamiji kwenye sanduku la Kura

Timu Lisu ni matusi kutwa kutukana Mbowe na hawataki kura wanataka Mbowe ajitoe Lisu apate ushindi wa mezani

Timu Lisu waoga sana sanduku la kura

Waacge kelele sanduku la kura ndio litaamua mbivu na Mbichi

Hongereni timu Mbowe kwa kuonyesha utulivu na ukomavu wa kisiasa na kuendesha kampeni kistaarabu
 
Sahihi kabisa Timu Mbowe wanafanya kampeni za kustaarabu na wanaamiji kwenye sanduku la Kura

Timu Lisu ni matusi kutwa kutukana Mbowe na hawataki kura wanataka Mbowe ajitoe Lisu apate ushindi wa mezani

Timu Lisu waoga sana sanduku la kura

Waacge kelele sanduku la kura ndio litaamua mbivu na Mbichi

Hongereni timu Mbowe kwa kuonyesha utulibu ukomavu wa kisiasa na kuendesha kampeni kistaarabu
Hawana hoja za kushawishi wajumbe
 
Back
Top Bottom