PICHA: Nimetazama hii picha BAWACHA walichomfanyia Mbowe nimebubujikwa na machozi

PICHA: Nimetazama hii picha BAWACHA walichomfanyia Mbowe nimebubujikwa na machozi

Ni kweli Yericko Nyerere katuliza kalio. Katulia hana kelele!
Nyakati zimemkataa mbowe hivyo asilaumu mtu.
Tulimuonya ila kashupaza shingo na ninadhani hataki kukiuka maagano ya maridhiano
KWANINI MNAMALZIMISHA AJITOE, WANAOTOA MANENO YA KEJELI HAWANA UTULIVU.
WAPENZI WA MBOWE WAMETULIA TULI. ACHENI BOX LISEME
 
Kura hukomesha mashindano, box litaongea.

Freeman atajitoa na atam support Tundu.

Hizi kelele ni kupima tu kama chama atakiacha salama kwa mtu mwenye ushawishi na kukubalika kwa wanachama? Mwisho wa igizo hili umekaribia.
 
Freeman atajitoa na atam support Tundu.

Hizi kelele ni kupima tu kama chama atakiacha salama kwa mtu mwenye ushawishi na kukubalika kwa wanachama? Mwisho wa igizo hili umekaribia.
Amka usingizini utajikojolea.
 
View attachment 3203403
===
FREEMAN MBOWE kama kweli wewe ni mwanasiasa lazima ujue kuyatazama matokeo kabla ya Uchaguzi, Hii game umepigwa jiondoe ubaki na heshima yako
Angejiuzulu angebaki na heshima kubwa sanaa nchini, kama mwanaharakati na mwanasiasa mashuhuri nwenye mchango mkubwa sanaa kwenye Chama na Taifa letu.
Ushindani utampoteza, amekaa miaka mingi sanaa kwenye chama, alipotumikia aachie ngazi washike wengine, nadhani atakuwa yupo kimaslahi chadema.
 
Afu hamuwez amin Mbowe tayari ni Mwenyekiti tena mpaka sasa, kuhusu ushindi sijui na haihusu.
 
KWANINI MNAMALZIMISHA AJITOE, WANAOTOA MANENO YA KEJELI HAWANA UTULIVU.
WAPENZI WA MBOWE WAMETULIA TULI. ACHENI BOX LISEME
Wapenzi wa Mbowe sio wako kimya kwa kupenda, bali wamepigwa na mshangao inakuwaje Mbowe amechokwa kwa kiwango hicho na wafuasi wengi wa cdm?
 
Back
Top Bottom