PICHA: Nimetazama hii picha BAWACHA walichomfanyia Mbowe nimebubujikwa na machozi

KWANINI MNAMALZIMISHA AJITOE, WANAOTOA MANENO YA KEJELI HAWANA UTULIVU.
WAPENZI WA MBOWE WAMETULIA TULI. ACHENI BOX LISEME
Sahihi kabisa Timu Mbowe wanafanya kampeni za kustaarabu na wanaamiji kwenye sanduku la Kura

Timu Lisu ni matusi kutwa kutukana Mbowe na hawataki kura wanataka Mbowe ajitoe Lisu apate ushindi wa mezani

Timu Lisu waoga sana sanduku la kura

Waacge kelele sanduku la kura ndio litaamua mbivu na Mbichi

Hongereni timu Mbowe kwa kuonyesha utulivu na ukomavu wa kisiasa na kuendesha kampeni kistaarabu
 
Hawana hoja za kushawishi wajumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…