Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Unataka tuandike unachopenda wewe?Umeandika nini na ww bwege?nyie vitoto tulizaa tukiwa tuna nyagi mizinga miwili kichwani mna tabu sana.
Hii post sijailewa kabisa[emoji848]Ana mengi sana moyoni!Kijana mdogo wa kimaskini unatafuta kazi!ukaipata kwa spika!kumbe spika ni top!anakunywa ya maziwa ana nenepa na suruali zinambana makalio !spika anammezea mate sana !anamshawizi hadi anakubali ndipo mwanzo wa utungu wa safari mpya hadi sasa!!!Anateuliwa kuwa commissioner wa mkoa pendwa anahudumu huku chama cha majangili kinamtumia vibaya kwa kuteka,kuua na kulemaza watu baadae kinamtosa na kumuacha solemba !Hatia inamjaa moyoni anashindwa kabisa kuzuia hisia zake anamlilia mungu amsaidie!!!!!Na mungu atamsaidia angalau utu urudi!!!
Kinyesi ni kinyesi tu hata kikipewa jina gani kitabaki kinyesi tu
Rais Ana uwezo wa kumteua viti maalum ktk ubunge...
Ulimbukeni, PPCB wachunguze utajiri wake uliopindukia usio endana na muda wa miaka mitano katika utumishi wa UMMA.Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Ni wake
Kinyesi ni kinyesi tu hata kikipewa jina gani kitabaki kinyesi tu
Mngejihusisha na mambo ya maisha siyo kufuatilia tu wenzenu wanafanya nini. Sisi wanaume huwa huo muda hatupati. Hayo mambo mengine muachieni mkewe.nyie mjikite kwenye mambo yenu.
Amedhulumu maisha ya watu wengi hatumwachi. Kama uko karibu naye mwambie hata sisi tukifa watoto wetu watadeal naye.Mngejihusisha na mambo ya maisha siyo kufuatilia tu wenzenu wanafanya nini. Sisi wanaume huwa huo muda hatupati. Hayo mambo mengine muachieni mkewe.nyie mjikite kwenye mambo yenu.
Jaribio la mauaji ya TAL loloshindwa kimiujiza lazima limtese mpaka anaingia kaburiniHuyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!