Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Mkuu huyu ndie ameongoza mipango yote michafu ya awamu ya 5..

Anatuhumiwa kusimamia kuteka, kutesa na hata kuuwa wapinzani wa serikali..

Anatajwa kushiriki na kusimamia mpango wa kumuuwa Lissu ambapo alimiminiwa zaidi ya risasi 30 na 16 zikaingia mwilini mwake..

Huyu wacha sio ateseke tu bali hata apotee kabisa..

Na atakufa mdomo wake ukiwa wazi kama samaki.
 
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Huyo huwa anashida na mungu kwa matendo yake ya kishetani,akiona biblia au kanisa lazima atoe gesi kwa nyuma then analia kama amefiwa na bwana yake
 
Faiv yiaz orede finishidi😂😂😂😂😂

Theni hi goti nathing moa thani hatipain for mudaringi sini.

Wajumbe ni kama wajuba tuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Yale mambo yake ya kunyime wenzake nafasi ya kuishi
 
Kumpiga makofi mzee Warioba halafu ukabaki salama, siyo rahisi.

Kuwapora wahindi fedha zao kwa kuwatishia kuwapa kesi za uhujumu uchumi halafu ukabaki salama, si rahisi.
Kuwa na cheti feki ukapewa madaraka makubwa ukabaki salama, siyo rahisi.
Wahindi wamemrushia majini mengi Sio rahisi kutoka salama
 
Daah jamaa ana wakato mgumu sanaa kama Jiwe akimkataa aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanza kumuonea hurumaaa...
 
Nina clip yake anahubiri! Niliirudia mara kadhaa kuisikiliza akanitafakarisha mengi sana.
 
Ni hii dhambi ya kumtupa jaji & waziri mstafu kama kibaka
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    35.6 KB · Views: 1
picha ya lini hiyo?
anayo mengi sana ya kujutia, damu za watu zimegoma kukauka.
 
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
acha mizaha ya kijinga wewe, mtu yuko kwenye ibada anamlilia Mola wake wewe unafanya dhihaka.
 
Sio watu wazuri 😅😅😅
🤣🤣🤣🤣 Ila nimeamini hakuna wanafiki Kama wajumbe...Kuna mzee kazimia huku alichotegemea kwa wajumbe kimekuwa tofauti🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom