Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Kumpiga makofi mzee Warioba halafu ukabaki salama, siyo rahisi.

Kuwapora wahindi fedha zao kwa kuwatishia kuwapa kesi za uhujumu uchumi halafu ukabaki salama, si rahisi.
Kuwa na cheti feki ukapewa madaraka makubwa ukabaki salama, siyo rahisi.
 
Bavicha hivi mmajua kama oktoba hii kuna uchaguzi?

Mbona mnajishughulisha na vitu vya kijinga? Badala ya angalau mngekuwa mnawekana sawa ni kwa vipi mtajitahidi angalau muambulie japo majimbo 3?
 
Kweli Dunia ina watu. Yaani jamaa Analia kisa kuukosa Mkoa na Ubunge. Hapo ninaamini hakuna kitu kingine zaidi ya hayo.

Ndio maana wapo wanaodiriki kufanya lolote ili mradi apate madaraka.
 
Mwache mtani wangu asome agano la kale ili ajue kuwa walikuwepo viongozi kama yeye ila kilichowapata anajua mungu mwenyewe
Mimi nilikuwa najua viti Maalumu ni kwa Wanawake tu kumbe adi na Sisi tupo, lakini atapewa jimbo gani?
 
Mtu wa Sinema Huyu
Assessment ya character ya Makonda ni mtu ambaye Rais akiendelea kukaidi ushauri wa kuacha kumbeba na kumuweka Karibu Sana ni mtu mwenye dalili ya kupenda ukubwa Sana na huenda angetaka kumuangusha au kumsaliti Rais mbele ya Safari ili yeye awe Rais baada yake

Mtu ambaye anaweza kujiona ni zaidi ya Karibu mkuu wa Chama ; waziri mkuu; au Makamu

Hata kuwajibu hadharani tena wakiwako ... aliwahi kumtuhumu PM
Hadharani kuwabeba Sirro na Ms Kaganda kuwabeba watu wa shisha ule ulikua ukosefu mkubwa kabisa wa adabu
 
Back
Top Bottom