Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa mungu wakati ndiye mganga mkuu wa serikali!Huyu jamaa anaonesha ni mtu wa Mungu tokea kitambo ila siasa imemharibu sana
Anawazuga ili siku baba yake akimpa tena ulaji awadanganye kuwa maombi ndio yamemnyanyua
Akisikia neno wajumbe matumbo joto.Wajumbe wamemtenda vibaya.
Raisi alimwendekeza yeye mwenyewe mwana kulitafuta mwana kulipata .Mtu wa Senema Huyu
Assessment ya character ya Makonde ni mtu ambaye Rais akiendelea kukaidi ushauri wa kuacha kumbeba na kumuweka Karibu Sana ni mtu mwenye dalili ya kupenda ukubwa Sana na huenda angetaka kumuangusha au kumsaliti Rais mbele ya Safari ili yeye awe Rais baada yake
Mtu ambaye anaweza kujiona ni zaidi ya Karibu mkuu wa Chama ; waziri mkuu ; au Makamu
Hata kuwajibu hadharani tena wakiwako ... aliwahi kumtuhumu PM
Hadharani kuwabeba Sirro na Ms Kaganda kuwabeba watu wa shisha ule ulikua ukosefu mkubwa kabisa wa adabu
Huyu anataka uwaziri ule anaokuwa na mamlaka na jeshi na polisi.Mbunge wa Kigamboni huyu.
Naibu waziri wa michezo
Kanda maalum
Endelea kushangaa boss!Eeh[emoji15] ushahidi wa nini tena
In sheikh's wa mkoa wa Dar voiceKalikoroga mwenyewe , msituhusishe
Sikupanga kucheka hivi mkuu🤣🤣🤣🤣! Uwiii nacheka hapa balaaHalafu siku hiyo aliamua kwenda na mkoba wa akina mama!
Kaka kama ulisoma somo linaitwa Map reading and Photography interpretation usingeuliza swali hiliMbona kando yake kuna mkoba wa kike!!
Jamaa kawapenya mpaka ndani na kimenasa kidude. Mmeshindwa kabisa kumuacha...Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
We dont fvcken care...Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!