Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Kinyesi ni kinyesi tu hata kikipewa jina gani kitabaki kinyesi tu
Kinyesi ni mbolea pia mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinyesi ni kinyesi tu hata kikipewa jina gani kitabaki kinyesi tu
Kuna mengi hamjuwi sijuwi pia.Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Kinaitwa "haja" [emoji1787]
Hakuna anaye kula raha kama yeye.Anawazuga ili siku baba yake akimpa tena ulaji awadanganye kuwa maombi ndio yamemnyanyua
Serikali imuonee huruma, maana walikuwa wakimtizama tu anayoyafanya, wampe japo kauilinzi. Amempukutisha mhindi wa watu mpaka kakimbia nchi. Kawafanyia fujo wauza ngada. Sasa sijui usalama wake itakuaje. Mana watu wa ngada ukiwaharibia biashara wanaweza kukumaliza sio.Kumpiga makofi mzee Warioba halafu ukabaki salama, siyo rahisi.
Kuwapora wahindi fedha zao kwa kuwatishia kuwapa kesi za uhujumu uchumi halafu ukabaki salama, si rahisi.
Kuwa na cheti feki ukapewa madaraka makubwa ukabaki salama, siyo rahisi.
So hivo tu, Sasa hv ameikimbia familia anaishi gettoIn short saivi atakuwa anawazia sana aliyoyatenda akiwa madarakani halafu
Mungu huwa ni Mkuu sana wakati wa maumivuHuyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?
Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Kina vitu alivifanya kwa msukumo wa kisiasa sasa anaporudi kwenye Neno anakuta linamhukumu. Biblia haiongopi ipo Siku dhamira itamwambia shuhudia matendo yako na hapo ndipo watu watabaki mdomo wazi ila nafasi yake itakuwa imeponywa.When was this? Siyo ya zamani?
Something is haunting him! Kuna mzimu wa mtu fulani unamsuta!
This is more than wajumbe sweetheart. Something is haunting him spirituallyWajumbe wamemtenda vibaya.
hawa wahuni wakpewa tena cheo kikubwa wakatumia uhuninkuvamia clouds fm, wahuni hawabadilikagi tabia.Anatubu dhambi hii na ya wasio julikanaView attachment 1522806
Usha ona wapi masai akaacha asili, huyu mhuni akiwa raisi wetu atatawala milele kama Mugabe, Putin na msevenihawa wahuni wakpewa tena cheo kikubwa wakatumia uhuninkuvamia clouds fm, wahuni hawabadilikagi tabia.
Makosa yake ni meusi sana kiasi kwamba hata sabuni ya hisopo haiwezi kumtakasaHuyu jamaa hata akifa nchi ikipata uongozi Bora na Sahihi lazima tumshataki huko huko kaburini
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaaaaaaaaaaah nimecheka kwa sauti, afu nipo sehemu ya watu wengi, wamebaki wananshangaaah lolHalafu siku hiyo aliamua kwenda na mkoba wa akina mama!