Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

Picha: Nini kinamtesa Paul Makonda?

watu wanacheza drama za ccm, makonda na baba yake

nazidi kuziona akili za watz tulivo na matatazo
 
Anawazuga ili siku baba yake akimpa tena ulaji awadanganye kuwa maombi ndio yamemnyanyua
Hakuna anaye kula raha kama yeye.
Na wengine anawazidi sana hata kama wanazidi vyeo au umri yeye yuko juu na mkubwa anajua mwache asubiri Fulsa nyingine
 
Kumpiga makofi mzee Warioba halafu ukabaki salama, siyo rahisi.

Kuwapora wahindi fedha zao kwa kuwatishia kuwapa kesi za uhujumu uchumi halafu ukabaki salama, si rahisi.
Kuwa na cheti feki ukapewa madaraka makubwa ukabaki salama, siyo rahisi.
Serikali imuonee huruma, maana walikuwa wakimtizama tu anayoyafanya, wampe japo kauilinzi. Amempukutisha mhindi wa watu mpaka kakimbia nchi. Kawafanyia fujo wauza ngada. Sasa sijui usalama wake itakuaje. Mana watu wa ngada ukiwaharibia biashara wanaweza kukumaliza sio.

In short saivi atakuwa anawazia sana aliyoyatenda akiwa madarakani halafu saiv anavyopotezewa.
 
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!
Mungu huwa ni Mkuu sana wakati wa maumivu
 
Huyu jamaa inaonekana kuna majuto fulani anapitia na siku za hivi karibuni anaonekana ni kama anafanya toba. Nini kinamtesa?

Ni muda tu utafika atapata nguvu ya kukiri hadharani maana siyo jambo la kawaida!

Mkuu Punguza umama. Kufuatilia Wanaume Wenzako ni kosa la kinidhamu. Ulitaka atoke ukuu Ametoka. Alipochaguliwa na Kikwete. Hamkuwa wambeya Hivi. Watu waovu kama wewe ndo huwanyooshea kidole kimoja wenzake, huku 4. vikikushtaki wewe. Mkewe afanye Nini Sasa kama wewe unamfuata fuata
 
When was this? Siyo ya zamani?

Something is haunting him! Kuna mzimu wa mtu fulani unamsuta!
Kina vitu alivifanya kwa msukumo wa kisiasa sasa anaporudi kwenye Neno anakuta linamhukumu. Biblia haiongopi ipo Siku dhamira itamwambia shuhudia matendo yako na hapo ndipo watu watabaki mdomo wazi ila nafasi yake itakuwa imeponywa.
 
Anasali hapo ili baba Yake mlezi amkumbuke kwenye ufalme wake..
 
Huyo jamaa bwana

Ana dhihirisha ile Newton law .. Yeye ni Apple lililo rushwa angani" now limeanguka
 
Halafu siku hiyo aliamua kwenda na mkoba wa akina mama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaaaaaaaaaaah nimecheka kwa sauti, afu nipo sehemu ya watu wengi, wamebaki wananshangaaah lol
 
Back
Top Bottom