House4Sale ( PICHA ) Nyumba inauzwa Kinondoni "B"

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
246
Wakuu habari zenu.

Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda kama alivyopanga atapiga hatua kubwa mno kimaisha.

Nyumba ina vyumba vitatu. Kimoja ni master room.
Seatting room
Dinning room
Jiko
Store
Baraza
Choo cha nje kipo

Hiyo ni nyumba kubwa. Kwa nje ina nyumba nyingine ambayo ni chumba na sebule.

Parking ya gari hata nne IPO
Nyumba yote hii ipo ndani ya fensi ya ukuta na ina geti kubwa.

Nyumba ipo Dar es salaam, eneo la Kinondoni "B"

Bei = Milioni 82
Contact : 0712189565
5b33d37efe9dc18143d991093b0598cd.jpg
e9334956b3889f8a3745c71840a90d0b.jpg
84c744f6fb283bb1e4975959c4095396.jpg
657532437c7e40beb99f62c3cb5f14f2.jpg
0906b37dd24d3f648c6a7c2caac70436.jpg
6bb05733e96abce60546804aa6396c41.jpg
f7421d94adc0bb7e67f374b554777a05.jpg
a5bc4b9416f2da82e7a931b545dba766.jpg
 
Ipo Mtaa gani Kinondoni B,
Ina hati, offer au Leseni ya Makazi.

Vp status ya hati yake kwny Mikopo kwny Taasisi za fedha.

Kuna Shauri lolote kuhusu hiyo Nyumba kwny Mabaraza au Vyombo vya kisheria

Kama Mmiliki yuko kwny Ndoa Mwenzi zake karidhia hiyo Biashara
 
Mkuu, umeuliza vema. Naomba nikujibu.
Nyumba haihusiani kabisa na mambo ya mikopo.

Hati zote za nyumba zipo.

Ndugu yangu ana mke ambaye naye ameridhia kuuzwa kwa nyumba.

Hakuna shauri lolote kwenye vyombo vya kisheria. Yaani hakuna mizengwe yoyote kuhusiana na hii nyumba.

karibuni wakuu. contact 0712189565
 
Aisee picha zoote hakuna kimechonitia uchungu kama hiyo picha ya Bibi hapo
Yaani anaonekana Mnyongeee
Hii ni kuonyesha kwamba hajaridhika nyumba kuuzwa na kuonekana kwamba kuna jambo hapo.Maana wazee wengi wa age hiyo huwa hawaamini kabisa kwamba mafanikio ya mtu yanatokana na kuuza Nyumba.Na ndio maana wazee wetu wote wenye akili walikubali kulala njaa lakini waliuza vyoote ila sio Nyumba,ambazo mpaka leo zipo hata kama Mbovu.

Mleta post kuwa makini sana juu ya kuingilia swala hili kama huna data za kutosha.Bei ni ndogo sana,na inazua mashaka kwamba kuna jambo.Sababu ya kuuza hai make sense
 
Wakuu habari zenu.

Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda kama alivyopanga atapiga hatua kubwa mno kimaisha.

Nyumba ina vyumba vitatu. Kimoja ni master room.
Seatting room
Dinning room
Jiko
Store
Baraza
Choo cha nje kipo

Hiyo ni nyumba kubwa. Kwa nje ina nyumba nyingine ambayo ni chumba na sebule.

Parking ya gari hata nne IPO
Nyumba yote hii ipo ndani ya fensi ya ukuta na ina geti kubwa.

Nyumba ipo Dar es salaam, eneo la Kinondoni "B"

UPDATES:

Hati ya nyumba ipo.

Hakuna pingamizi lolote kuhusiana na uuzwaji wa nyumba hii.

Hata ukitaka tuihusishe mahakama katika kuuziana ruhsa kabisa.

Bei = Milioni 82
Contact : 0712189565
5b33d37efe9dc18143d991093b0598cd.jpg
e9334956b3889f8a3745c71840a90d0b.jpg
84c744f6fb283bb1e4975959c4095396.jpg
657532437c7e40beb99f62c3cb5f14f2.jpg
0906b37dd24d3f648c6a7c2caac70436.jpg
6bb05733e96abce60546804aa6396c41.jpg
f7421d94adc0bb7e67f374b554777a05.jpg
a5bc4b9416f2da82e7a931b545dba766.jpg
 
Aisee picha zoote hakuna kimechonitia uchungu kama hiyo picha ya Bibi hapo
Yaani anaonekana Mnyongeee
Hii ni kuonyesha kwamba hajaridhika nyumba kuuzwa na kuonekana kwamba kuna jambo hapo.Maana wazee wengi wa age hiyo huwa hawaamini kabisa kwamba mafanikio ya mtu yanatokana na kuuza Nyumba.Na ndio maana wazee wetu wote wenye akili walikubali kulala njaa lakini waliuza vyoote ila sio Nyumba,ambazo mpaka leo zipo hata kama Mbovu.

Mleta post kuwa makini sana juu ya kuingilia swala hili kama huna data za kutosha.Bei ni ndogo sana,na inazua mashaka kwamba kuna jambo.Sababu ya kuuza hai make sense
Ndugu yangu mbona unapenda kuhisi?. Huyo bibi wewe unamjua ni nani?.
Na mbona hapa sikusema kwamba anayeuza hii nyumba ni huyo bibi. Unasema eti inaonyesha huyo bibi hajaridhika kuuzwa nyumba. Wewe unamjua huyo ni nani?. JF ya siku hizi kweli siyo kama ile ya zamani kwakweli.

Ndugu yangu soma vizuri tangazo. Hakuna mizengwe wala mgogoro wowote juu ya kuuzwa hii nyumba.

Unasema eti sababu ya kuiuza Hii nyumba eti haiingii akilini. Ndugu yangu, wewe ulitaka niwadanganye watu hapa kwa kuweka sababu ya uongo???.

Unasema eti bei ni ndogo sana. Ndugu yangu hii bei haipungui hata senti. Yaani hapo usitegemee kwamba itapungua.
 
karibu 0712189565.
 
Achana nae huyo ubongo ulishapata Stroke kipindi anavua samaki zanzibar ndugu wamehangaika wameamua wamwachie mungu,huwa anabadilika kama mwezi mchanga..kuna watu wameipenda watakufata PM
 
Aisee picha zoote hakuna kimechonitia uchungu kama hiyo picha ya Bibi hapo
Yaani anaonekana Mnyongeee
Hii ni kuonyesha kwamba hajaridhika nyumba kuuzwa na kuonekana kwamba kuna jambo hapo.Maana wazee wengi wa age hiyo huwa hawaamini kabisa kwamba mafanikio ya mtu yanatokana na kuuza Nyumba.Na ndio maana wazee wetu wote wenye akili walikubali kulala njaa lakini waliuza vyoote ila sio Nyumba,ambazo mpaka leo zipo hata kama Mbovu.

Mleta post kuwa makini sana juu ya kuingilia swala hili kama huna data za kutosha.Bei ni ndogo sana,na inazua mashaka kwamba kuna jambo.Sababu ya kuuza hai make sense
Mkuu uko sawa bei na nyumba ni vitu viwili tofau
 
Achana nae huyo ubongo ulishapata Stroke kipindi anavua samaki zanzibar ndugu wamehangaika wameamua wamwachie mungu,huwa anabadilika kama mwezi mchanga..kuna watu wameipenda watakufata PM
sawa mkuu
 
<< MWAMBIE NDuguyo achukue 30mil. maana ukarabati nadhani utanigharimu 35m itakuwa inakaribia 82 Mkuu>>
 
Aisee picha zoote hakuna kimechonitia uchungu kama hiyo picha ya Bibi hapo
Yaani anaonekana Mnyongeee
Hii ni kuonyesha kwamba hajaridhika nyumba kuuzwa na kuonekana kwamba kuna jambo hapo.Maana wazee wengi wa age hiyo huwa hawaamini kabisa kwamba mafanikio ya mtu yanatokana na kuuza Nyumba.Na ndio maana wazee wetu wote wenye akili walikubali kulala njaa lakini waliuza vyoote ila sio Nyumba,ambazo mpaka leo zipo hata kama Mbovu.

Mleta post kuwa makini sana juu ya kuingilia swala hili kama huna data za kutosha.Bei ni ndogo sana,na inazua mashaka kwamba kuna jambo.Sababu ya kuuza hai make sense
Nime scroll mara 5 kwenda juu na chini. ... nimeongeza mwanga 10x kumsaka huyo bibi aliyekaa kinyonge. ......nimetoka kapa
 
siku hizi jf ina watoto wengi sana. Mnaleta masihara kwani hii thread haina masihara. Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom