Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

nyumba iko sauzi mtaa gani na hati ni ya nani? kama kweli amenunUa bora angewajengea watoto yatima hapa bongo waishi au talent center btw muda wote zari alikuwa anaishi kwenye nyumba ya kupanga au kwa baba watoto wake ivan....kichwa kinauma
Kuna drama inaendelea huko IG Leo btn Zari na mmewe
 
Nimeangalia bei ya nyumba westcliff, honestly same house ikiwa masaki itauzwa bei ghali zaidi.

4 Bedroom House for sale in Westcliff - Johannesburg
Sasa Mkuu RRONDO, ngoja tuchukue reference ya huo mjengo ambao umeweka:


Hiyo Rs. 29M ni takribani US$2.14 Million (rate ya leo) na uki-convert moja kwa moja kwa pesa ya madafu ni TZS 4.6 Billion! Hiyo iliyopo Westcliff, tuilinganishe na hii hapa chini iliyopo Masaki! Tena niseme jambo moja! Sikuhangaika kutafuta... I just picked both of them at random:

Hapa tutumie mchezo wa kitoto kupata jibu! Assume zote hizo zipo sehemu moja na unaambiwa uchague moja wapo 4u; utachukua ipi?
 
Ndio maendeleo tunayoyataka wasanii waliofeli maisha wanaumia sana!ila kazeni buti
 
Mkuu umejuaje kama ni dongo kwa ivan imekuaje umeamini icho ki post cha udaku au simu ya zari imepotea wametoa wapi hizo sms huu mchezo hauhitaji hasira au pia umeamini kuhusu hereni zile mjini hapa tunaishi kwa akili mengine baadae
 
nyumba imenunuliwa moleta park south huko
 
Hawana lolote drama tu hizi!

Mama mtu mzima Mwenye watoto wanne

Anapenda kick za ajabu ajabu kabisa!
 
nyumba imenunuliwa moleta park south huko
Anyway, ingawaje tumeitaja Westcliff haikuwa na maana kwamba Chibu kanunua hiyo nyumba Westcliff! Tangu wakati tunaanza, tulitaka kufanya ulinganifu kwa kuangalia maeneo yanayofanana fanana kwa hadhi bila kujali Chibu yeye kanunua wapi!!
 
Sijui point yako ni nini?! Nilichojaribu kukuonesha ni kuwa nyumba Tz ni bei ghali kuliko SA. Mimi ukiniambia nichague nitachukua ya SA. Tz market is unrealistic, no value for money.

Btw bei za nyumba zimeshuka sana,kuna watu waligoma kuuza nyumba masaki $4m sasa hivi wametaka $2m hamna mnunuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…