Kwani Ni kweli mond alimlenga Ivan au mange ? Halafu Huyo tzshade Ni nani alopost Hiyo kituKiki tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Ni kweli mond alimlenga Ivan au mange ? Halafu Huyo tzshade Ni nani alopost Hiyo kituKiki tu
Labda mangeKwani Ni kweli mond alimlenga Ivan au mange ? Halafu Huyo tzshade Ni nani alopost Hiyo kitu
Kuna drama inaendelea huko IG Leo btn Zari na mmewenyumba iko sauzi mtaa gani na hati ni ya nani? kama kweli amenunUa bora angewajengea watoto yatima hapa bongo waishi au talent center btw muda wote zari alikuwa anaishi kwenye nyumba ya kupanga au kwa baba watoto wake ivan....kichwa kinauma
ni ivan na ivan keshajibu zari kafukuzwa kwenye nyumba eti anaomba msamahaLabda mange
Sasa Mkuu RRONDO, ngoja tuchukue reference ya huo mjengo ambao umeweka:Nimeangalia bei ya nyumba westcliff, honestly same house ikiwa masaki itauzwa bei ghali zaidi.
4 Bedroom House for sale in Westcliff - Johannesburg
Knee makubwani ivan na ivan keshajibu zari kafukuzwa kwenye nyumba eti anaomba msamaha
Mkuu umejuaje kama ni dongo kwa ivan imekuaje umeamini icho ki post cha udaku au simu ya zari imepotea wametoa wapi hizo sms huu mchezo hauhitaji hasira au pia umeamini kuhusu hereni zile mjini hapa tunaishi kwa akili mengine baadaeView attachment 405551
Naseeb umeona kiki ya vihereni haijatosha basi ukaamua uende kwa IVAN sasa....umefanya jambo la ajabu sana, unafikiri kumkejel baba wa watoto wa salome wako ndio uanaume??
Na nikueleze tu watoto nafikir walikua wakikuheshimu lakin naona sasa hivi.hio heshima haitakuepo kabisa na nasikia watoto wamemaind sana..kiukwel hakuna mtoto atakaekubal baba yake adhalilishwe katika media kisa nyumba. Nyumba hata kama ya kupanga lakin si nyumba?? Watoto wameridhika na baba yao na wanampenda baba yao hata kama kawaweka kwenye nyumba ya kupanga...hela si zipo au and he is taking care of them??
And guess what bwana naseeb, salome saivi anahaha kumuomba msamaha ivan kwa ujinga uliofanya wewe...na kwa hili nimejua zari ni bonge la mwanamke koz kiukwel hakuna mwanamke ambae mliseparate kistaarabu na mkapata watoto na still watoto anawajali atakaekubal uongee shombo kwa baba watoto wake!!
Nachomshaur ivan akae kimya hivo hivo.
Naona pesa zinaanza kuwapa watu vichaa sasa. Naseeb huo sio uanaume brother. Umechemka. Hata kama ni "kiki" sio ya staili hio.
Rubish!.
nyumba imenunuliwa moleta park south hukoSasa Mkuu RRONDO, ngoja tuchukue reference ya huo mjengo ambao umeweka:
View attachment 405556
Hiyo Rs. 29M ni takribani US$2.14 Million (rate ya leo) na uki-convert moja kwa moja kwa pesa ya madafu ni TZS 4.6 Billion! Hiyo iliyopo Westcliff, tuilinganishe na hii hapa chini iliyopo Masaki! Tena niseme jambo moja! Sikuhangaika kutafuta... I just picked both of them at random:
View attachment 405570
Hapa tutumie mchezo wa kitoto kupata jibu! Assume zote hizo zipo sehemu moja na unaambiwa uchague moja wapo 4u; utachukua ipi?
Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Hawana lolote drama tu hizi!Leo kimenuka huko instagram
![]()
Huu ndio Utajiri ambao Ivan, baba watoto wa Zari anajigamba nao kwenye mitandao:
View attachment 405510
View attachment 405511
View attachment 405512
View attachment 405513
View attachment 405514
View attachment 405515
Update:
Zari ameomba msamaha kwa mzazi mwenzie anadai Chibu kaandika huo ujumbe kwa Mange Kimambi. Watoto wa Zari wamekuja juu hawamtaki tena Diamond kwa kumuaibisha baba yao
View attachment 405565
alikuwa anajifanya bilionea kumbe mdangaji tu wa kawaida anaishi kwa child support.kumbe ndo maana mama d hampendiHawana lolote drama tu hizi!
Mama mtu mzima Mwenye watoto wanne
Anapenda kick za ajabu ajabu kabisa!
Anyway, ingawaje tumeitaja Westcliff haikuwa na maana kwamba Chibu kanunua hiyo nyumba Westcliff! Tangu wakati tunaanza, tulitaka kufanya ulinganifu kwa kuangalia maeneo yanayofanana fanana kwa hadhi bila kujali Chibu yeye kanunua wapi!!nyumba imenunuliwa moleta park south huko
Umeona eeeh!alikuwa anajifanya bilionea kumbe mdangaji tu wa kawaida anaishi kwa child support.kumbe ndo maana mama d hampendi
nenda kwa page ya ivan ukacheke wabongo wanavomshambulia ahahaaUmeona eeeh!
Mzazi gani atakubali mwanawe afanywe chumio!!
Huyu Zari sio mtu mzuri!
Sijui point yako ni nini?! Nilichojaribu kukuonesha ni kuwa nyumba Tz ni bei ghali kuliko SA. Mimi ukiniambia nichague nitachukua ya SA. Tz market is unrealistic, no value for money.Sasa Mkuu RRONDO, ngoja tuchukue reference ya huo mjengo ambao umeweka:
View attachment 405556
Hiyo Rs. 29M ni takribani US$2.14 Million (rate ya leo) na uki-convert moja kwa moja kwa pesa ya madafu ni TZS 4.6 Billion! Hiyo iliyopo Westcliff, tuilinganishe na hii hapa chini iliyopo Masaki! Tena niseme jambo moja! Sikuhangaika kutafuta... I just picked both of them at random:
View attachment 405570
Hapa tutumie mchezo wa kitoto kupata jibu! Assume zote hizo zipo sehemu moja na unaambiwa uchague moja wapo 4u; utachukua ipi?
Ngoja niendenenda kwa page ya ivan ukacheke wabongo wanavomshambulia ahahaa
ndio wewe si msukule wa lowasa?umeshawahi kuonana na mimi??
Hahhaahahahha kwa ungo auJamani nyie mnaozoea kuacha hereni mkaache na south africa sasa mtamkoma mama mwenye nyumbaaaa
Ni wachache sana wanajua hio fact.Kwanza madale alijenga siku nyingi akiwa hana hela kama alizo nazo sasa; pia gharama ya kujenga nyumba kama hiyo madala ni kubwa kuliko ya kununua nyumba kama hiyo SA.