Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Kwann usiite mond diamond platinum simba kiboko yao baba tiffa dangote we Yule jamaa angeitwa kimba matembo ungefurahi mzee....jiheshimu
 
Reality sometimes is far and stranger than our own imaginations. Labda mwenzetu ni muumini wa ule msemo wa "fake it until you make it".
hivi wanawake wangapi ni real bossladies hapa tz au E.A. nawazungumzia wale selfmade. Hawajawezeshwa na wazazi au madanga? Kimsingi maisha yetu wadada/wamama wengi wamjini ni haya haya tu, tunadanga weee mwisho tuanza kujiita selfmade and blah blah kibao.
Mi naelewa sana kwanini labda zari alijiita bosslady while she'nt, may be it's all about kujipandisha thamani kiasi kwamba mtu akitaka amtongoze ajiulize mara mbili mbili Kuwa anaweza kum- afford? Kupata deals and all that ! Kila mtu anambinu zake za kupafikia anapopataka eti [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu ndo maana nakupendaga wewe; una akili sana!!!
Ahhh bana, sometimes nashindwa kuelewa nini kinatokea kwenye "reasoning ability" ya baadhi ya watu! Afu acha kunizeveza hapa, PM kibao hujajibu.
 
English ya mwendo kasi...!!
 
Moreleta si ni suburb kabisa,nyumba ya kawaida

Habari ndo hiyo

Sisi wa Tandale hiyo nyumba si ya kawaida. Kaka yetu kanunua nyumba nje ya nchi, Bondeni kwa Madiba hilo ndo kubwa. Kama iko Tandale ya huko Bondeni mnajua nyie wa Masaki. Kalipa mamia ya mamilioni. Nyumba ya vyumba viwili ilikuwa anasa kwetu. Huku kwetu Tandale hakuna nyumba kama hiyo. Hata kwa shoga zangu kina Sikudhani na Semeni wa Sala Sala na Mbezi Beach si za kawaida.Na kule Masaki nyumba kama hiyo wanakalia mabalozi.

Hayo ya wifi ya kujiita au kuitwa bosslady nyie tu na rohozenu. Mimi najua bosslady ni bosslady tu kwenye sekta hiyo. Unaowasemea wewe wanaitwa Iron ladies. Kama HAWARA analala na "ladies" wengine na bado anavumilia ndo uboss wenyewe. Kama na umri wake mkubwa na watoto watatu kaweza kumkamatia kaka ndo ubosslady wenyewe huo. Mabinti wa ngapi wa hukokwenu wanamkodolea kaka macho kodo kodo lakini hawaoni pa kupita? Halafu kwani bosslady alifuata ndoa au mradi mpaka aondoke kisa waja? Hao wanaolala na hawara yake wameshapata nyumba ngapi? Wanawe wakipata kiota naye kapata kiota. Kila lady anajua anachokifata kwa kaka. Wengine wakilala kwenye kile kitanda tu wanatoka moyo kwatuu... Kikubwa nipate habari za burudani. Wao wanajuana wenyewe
 
Ahhh bana, sometimes nashindwa kuelewa nini kinatokea kwenye "reasoning ability" ya baadhi ya watu! Afu acha kunizeveza hapa, PM kibao hujajibu.
Acha habari zako bhana.., kibao wapi wakati ni moja tu tena ya kitambo kishenzi! Nilikuwa naona uvivu kujibu manake niliona hata nikijibu mtu mwenyewe unatokea kila baada ya miezi 6 mara moja!!
 

Kumbe tatizo hapa ni mali, sio mapenzi
 

Kumbe tatizo hapa ni mali, sio mapenzi
 
Na sisi huku Mikoroshini ndo hivyo hivyo!
 
Na sisi huku Mikoroshini ndo hivyo hivyo!
Hata sisi huku ikwiriri ni hivyo hivyo! Haya ni mambo ya kawaida kwa waliokulia masaki na obey. Hahhahah maisha behind the keyboard ni raha sana [emoji23][emoji23] CC. NANDERA
 
Victoire yaani Mimi hata sitaki kuamini?![emoji15] [emoji15]...alivyokuwa anajishaua huyu mmama na nyodo zake mi nikahisi dharau za hela!...heee si kwa kubembeleza huku ili Ivan amsamehe, yani kotekote zari anamuigopa Ivan na Domo na inaonesha wote anawapanulia...maskini kumbe hana ujanja wowote, anategemea K na child support..Huddah was correct kumbeee!!!
 
Amembembeleza nani kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…