Phenomenon Lady
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 407
- 245
Hua hajui kupangilia nguo pia hajui kuchagua nguo,sijawahi kumuona kapendeza hata siku moja, hapo utafikiria kavaa dekio
Basi watu wa IG wanavyomsifiaga kapendeza ndo wanamchanganya kabisaaaaa..hata mi sijawahi ona penseli kapendeza,na pozi lake la kuegemea ukuta kila siku
Huyu penny naye achoki tu kujipendekeZa kwa hawa watu mara kamfanyua birthday dada wa diamond, mara mama diamond mara kiface... Hvi hzo cent zake hana cha kufanyia, angeenda japo kumpakia mama yake rangi kwenye kale ka nyumba ka NHC anachoishi au kumnunulia kaka yake Sheiza Mungilwa Suruali size yake tungemuelewa...
Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
Ila h.o.d take care na hicho kibarua chako ujue chaguo la diamond ni wema
usije sema nakukejeli hapa make hukawii
Me uwa nina wasiwasi na huyo dada yake DIAMOND Na KiFESI inawezekana kiface akawa ana mla 0713 huyo asma platnumz yaani nyendo zao sizielewi elewi hivi !
KUwa kama mtu mzima basi,istoshe hujaona nina mpenz wangu hapo?? mamakibunju
labada nikujuze kitu rafiki yangu,diamond hachanganyagi mapenz na kazi hata siku moja,wema kaja tayri me na peny tu marafik tunaoheshimianana dai anafham so ulitaka tuvunje urafik?wema mwenyewe anafaham hajakasirika na we talkin kama kawaida..si kila mtu anaweza kuwa na mawazo an misimamo ya hivyo ndugu yangu Evelyn Salt
Watu bana,kwa hiyo ulitaka baada ya kuachana basi ajenge uadui na watu aliokwisha jenga uhusiano nao /yan tuwe hatusalimian,kuongea wala kufanya mambo mengine yabkibinadam.acha ujinga mtunmzima wewe
Hapa ndio teknolojia ya mzungu ya 360 inapochemshaga..we kweli kifesi