Phenomenon Lady
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 407
- 245
Hua hajui kupangilia nguo pia hajui kuchagua nguo,sijawahi kumuona kapendeza hata siku moja, hapo utafikiria kavaa dekio
Basi watu wa IG wanavyomsifiaga kapendeza ndo wanamchanganya kabisaaaaa..hata mi sijawahi ona penseli kapendeza,na pozi lake la kuegemea ukuta kila siku