Picha: Peter Madeleka akiwa na Maburungutu ya pesa. Hii ni baada ya kupigania haki za wanaoonewa

Kuwalinganisha watu Njia Moja ya kuwa mtumwa wa akili
Utoto,ushamba,ulimbukeni,kuasilika kisaikolojia ,ujinga ndio vinamsumbua. Mbona akina Bakhresa, Mohamed Dewji,Alicko Dangote,GSM ,Bilgeti,Alon Musk na wengine wengi hawafanyi huo ujinga na utoto .huyu jamaa namuonaga ni kama kichwa chake hakina akili au hayupo sawa kichwani.kwa namna ambavyo huwa anapost vitu vya kijinga jinga na kitoto toto tu.
 
Inawezekana ujinga wake unamanufaa kwa taifa hasa watu wengi wenye uelewa wa haki, hivyo wanamchangia ili akapambanie yale yaliyofanya hata yeye akanufaika kwa elimu yake na hizo fedha.

Ila inawezekana wewe usiyekuwa mjinga una matatizo ya akili na mihemko. Ona sasa umeandika hovyo hovyo kwa kukurupuka kwako.
 
Utoto,ushamba,ulimbukeni,kuasilika kisaikolojia ,ujinga ndio vinamsumbua. Mbona akina Bakhresa, Mohamed Dewji,Alicko Dangote,GSM ,Bilgeti,Alon Musk na wengine wengi hawafanyi huo ujinga na utoto .huyu jamaa namuonaga ni kama kichwa chake hakina akili au hayupo sawa kichwani.kwa namna ambavyo huwa anapost vitu vya kijinga jinga na kitoto toto tu.
Nasikia umeonekana kituo cha kujiandisha tangu jana usiku na maandazi yako ili asubuhi uwe wa kwanza, una hasira Luca🤣
 
Utoto,ushamba,ulimbukeni,kuasilika kisaikolojia ,ujinga ndio vinamsumbua. Mbona akina Bakhresa, Mohamed Dewji,Alicko Dangote,GSM ,Bilgeti,Alon Musk na wengine wengi hawafanyi huo ujinga na utoto .huyu jamaa namuonaga ni kama kichwa chake hakina akili au hayupo sawa kichwani.kwa namna ambavyo huwa anapost vitu vya kijinga jinga na kitoto toto tu.
Pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom