Picha: Peter Madeleka akiwa na Maburungutu ya pesa. Hii ni baada ya kupigania haki za wanaoonewa

Vijana wa chadema wajinga sana hapo wamechangia ukiwaambia wachangie ujenzi wa zahanati watagoma

USSR
Wapo radhi wamchangie aliemtukana mama Samia ili atoke lock up kuliko kuchangia maendeleo ya Taifa.
 
Kuwalinganisha watu Njia Moja ya kuwa mtumwa wa akili
 
Inawezekana ujinga wake unamanufaa kwa taifa hasa watu wengi wenye uelewa wa haki, hivyo wanamchangia ili akapambanie yale yaliyofanya hata yeye akanufaika kwa elimu yake na hizo fedha.

Ila inawezekana wewe usiyekuwa mjinga una matatizo ya akili na mihemko. Ona sasa umeandika hovyo hovyo kwa kukurupuka kwako.
 
Nasikia umeonekana kituo cha kujiandisha tangu jana usiku na maandazi yako ili asubuhi uwe wa kwanza, una hasira Luca🤣
 
Pumbavu kabisa.
 
Vijana wa chadema wajinga sana hapo wamechangia ukiwaambia wachangie ujenzi wa zahanati watagoma

USSR
Wakati mama anachangia magoli ya simba na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…