Chanzo cha hayo yote ni nani?Vipi wale waliovunjiwa maduka, kuchomewa magari na kuibiwa mali zao, ilhali hawahusiki na huo ufuska semwa wa serikali? Je huo sio ukatili kwao?
Huyu ndio yule mwenye majeraha ya kuchomwa na pasi mikononi?Kijana huyu amesimama kizimbani akiwa na vest na boksa—baada ya kunyimwa hata ruhusa ya kupiga simu kuomba nguo za kubadilisha.
Ni miongoni mwa vijana walioshtakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi ya uhaini. Taarifa zinaeleza kuwa Jeshi la Polisi lilimzuia kuwasiliana na familia yake, hata kwa dharura ya mavazi.
Leo, mbele ya Mahakama, amesomewa mashtaka akiwa katika hali isiyo ya heshima kwa utu wa binadamu.
Soma Zaidi: Wengine 95 wapandishwa Kisutu jioni hii kwa Mashtaka ya Uhaini, idadi yafikia watuhumiwa 291 nchi nzima
Chanzo ni walioamua kufanya fujo na vurugu badala ya kutumia njia mbadala kule mabadiliko pendwa.Chanzo cha hayo yote ni nani?
Huyu ndio yule mwenye majeraha ya kuchomwa na pasi mikononi?
Wahuni sana wanawapiga wanawatesa wakili tuhuma ambazo hawajashiriki, ni mbinu mbovu ya kuwahoji watuhumiwaPolice kikundi cha wahuni.