Agent-47
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 786
- 2,860
kila mtu (hata aliyehukumiwa kifo) anastahili kupata heshima ya kibinadamu bila kutweza utu wake. Ndivyo katiba na sheria zetu zinavotaka. Haya majitu ni makatili na yanavunja sheria. Mahakama nazo zilivyo za hovyo zinakubali vipi kukubali mtu aletwe mahakamani akiwa amevaa nguo ya ndani?